Sahara

Sahara

mPM fasts!

Bishanga na ww mbona unashadadia kiivyo c umwache mwenyewe abonge na ww upo tanga au umebaki np njiani natokea moro ila kama mpo kwa wagosi naweza piga break kidogo nikapunguza uzito wa walet!!! then nishike hamsini zangu!!
 
Nadhani huyu mrembo atakuwa kadozi maana co kawaida yake nina Embassy moja kwa ajili yake!!!
 
Posh m PM basi coz najua unamfahamu sana namaanisha ati vp Pj umeshamuona???
 
mbona unaogopa ujiamini au ndio walewale akina Pj na Erickb52??+ Manoah!!
 
Mgeni mwenyeji

Mwenyeji sana ila najua wengi hamnitambui coz sio msemaji sana napenda kusoma view zenu ikinipendeza ndio nachangia kidogo pia muda wangu ni mdogo sana kuwepo on line money make me crazy daily!! pamoja saaana!
 
All in all namtafuta sahara nimetonywa yupo korogwe jamani mbona tunazibiana au ndio tabia za huku erickb52 na Pj ndio tabia zenu mnanitisha lkn??
 
Kutokuwepo online muda mwingi ndio ugeni wenyewe...JF is moving so fast

Mwenyeji sana ila najua wengi hamnitambui coz sio msemaji sana napenda kusoma view zenu ikinipendeza ndio nachangia kidogo pia muda wangu ni mdogo sana kuwepo on line money make me crazy daily!! pamoja saaana!
 
Mwenyeji sana ila najua wengi hamnitambui coz sio msemaji sana napenda kusoma view zenu ikinipendeza ndio nachangia kidogo pia muda wangu ni mdogo sana kuwepo on line money make me crazy daily!! pamoja saaana!

dah! Kumbe kichaa? Sasa huyo unayemtafuta ni kichaa pia?
 
Mwenyeji sana ila najua wengi hamnitambui coz sio msemaji sana napenda kusoma view zenu ikinipendeza ndio nachangia kidogo pia muda wangu ni mdogo sana kuwepo on line money make me crazy daily!! pamoja saaana!

Mwenyeji bubu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom