Safu ya Uongozi Mpya CHADEMA

Safu ya Uongozi Mpya CHADEMA

Hivi Mrema amechaguliwa mala ngapi?
Hongera Generali Mbowe!
 
Tunasubiria secretariat tuone upya wa uongozi huu. Katibu kama kawaida
 
Kuna vichaa km Ritz,msalani huwa wanaleta hoja zisizo kuwa na msingi wowote katika jukwaa naomba wana jukwaa wenzangu gamba lolote linalo tokwa mapovu kwa hoja isiyokuwa na msingi tulipotezee bila kulijibu ili lijue na litambue kuwa hatuna mchezo katika swala zima la maslahi ya nchi yetu na kuwa tupo Serious katika kuendelea kufanya mabadiliko na wajue kuwa Vijana,wa mama,wazee wote washaujua ukweli ni upi kwamba yupi KIONGOZI na yupi ni FISADI.
 
hongerani sana makamanda bado tunawaamini na kuwahitaji hizi kelele za hawa wahuni wachache msijali nyie mti wenye matunda mazuri lazma murushiwe mawe
 
hongerani sana makamanda bado tunawaamini na kuwahitaji hizi kelele za hawa wahuni wachache msijali nyie mti wenye matunda mazuri lazma murushiwe mawe

Kamanda wa jeshi lipi na nyie mbona mnatudanganya saana NGO yenu nayo
 
hata kama ni walewale wewe inakuhusu nini!kaa na uccm wako na ushoga wako,wacha wanaume tusonge mbele.

Sioni kamakuna jipya tatizo tunamizigo wanafanya siasa ushabiki yani maisha ya watanzania wakabiziwe cdm! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii yaguju
 
LISU sijui hapo atasemaje,na kaulimbiu yake ya URAISI WA UFALME.
 
Back
Top Bottom