Tabora yetu
Senior Member
- Sep 13, 2014
- 139
- 21
Chadema ni msingi hata philip magula analijua hilo
Sasa si uende mahakamani kama huridhiki?Chadema haina uongoI ni malaghai watupu
MATOKEO RASMI
Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:
Makamu Mwenyekiti zanzibar
Said Issa Mohamed 645
Hamad Mussa Yusuph 163
Makamu Mwenyekiti Bara
Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2
Mheshimiwa Mbowe na Mh. Abdallah Safari, hongera sana, hiyo ni ishara ya kuaminika sana na wanachama kwa niaba ya wananchi. Wekeni matumaini ya wananchi mbele, tumikieni wananchi, piganieni haki ya taifa iliyoporwa na wanyang'anyi wachache. Ponyeni hii nchi toka lindi la rushwa na ufisadi uliokithiri.MATOKEO RASMI
Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:
Makamu Mwenyekiti zanzibar
Said Issa Mohamed 645
Hamad Mussa Yusuph 163
Makamu Mwenyekiti Bara
Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2
mwenyekiti ni mh.freeman aikael mbowe
makamu mwenyekiti bara ni prof.abdallah safari
mh.said isa mohammed
makamu mwenyekiti zanzibar.wana kelele za udini hapo mnalipi jipya?
Kauli ya Mh Mbowe imenipa matuamain sana alipokua akto hutuba yake ya mwisho kama mwenyekiti wa chama anaye malza muda wake, CHADEMA n kama train akishuka mtu alimaanisha wasaliti wanapanda wengine alimaanisha wanachama wapya wengi zaidi ya wasaliti. Mbowe amesema tatizo la CHADEMA ni viongozi wanachama wapo wakutosha, sisi wenyewe tumeona usaliti mkubwa wa viongozi wa chama kwa kulubuniwa na watawala ili kupunguza nguvu ya upinzani. Makamanda na viongozi wapya wa chama tambueni mupo hapo kwa matakwa ya wananchi na sio kwajili ya matumbo yenu. Peoplesssssssssssssssss
Mods nyuzi zingine hazina kichwa wala miguu
Majuha mengi yapo chadema wengi hawajitambui.
Hakuna safu mpya ni wale wale
Nawafahamu wote, nimekaa nao na kuongea nao. Wewe ni mwongo, hawa ni watu wenye fikra na maono mazito kuliko unavyofikiri. Mara nyingine ni vizuri kukaa na watu ukawasikiliza na kuwapima.Ukiwaangalia hao makamu wenyeviti kusema kweli ni watu ambao hawana umaarufu wowote ndani ya chama na kwenye jamii.
Wala hawana msaada wowote wa kuisaidia chadema hilo hata wanachadema wanalijua sema wameamua kuwatumia kwasababu wanajua jinsi watakavyokua wanawadhibiti.
Ukisikia chama kupoteza muelekeo ndo huko. Chadema na umaarufu wake na kilipokua kimefikia hakikustahili kuendeshwa na sampuli za watu kawa wale. Mnawaacha watu kama akina Baregu ambao wanakubarika na jamii inawafahamu sana mnaenda kumg'ang'ana na wao watu sijui mmewaokota wapi!!!
Lakini ili mwenyekiti aendelee kula na kujimilikisha chama lazma afanye hivyo kwa kuweka misukule kwan watu kama akina BAREGU huwezi kuwapelekesha kwenye maamuzi, lazma utaulizwa bila woga.
Kwa mwendo huo chadema naiona polepooooole inaanza kuchungulia kuzimu baada ya kifo.
Ukiwaangalia hao makamu wenyeviti kusema kweli ni watu ambao hawana umaarufu wowote ndani ya chama na kwenye jamii.
Wala hawana msaada wowote wa kuisaidia chadema hilo hata wanachadema wanalijua sema wameamua kuwatumia kwasababu wanajua jinsi watakavyokua wanawadhibiti.
Ukisikia chama kupoteza muelekeo ndo huko. Chadema na umaarufu wake na kilipokua kimefikia hakikustahili kuendeshwa na sampuli za watu kawa wale. Mnawaacha watu kama akina Baregu ambao wanakubarika na jamii inawafahamu sana mnaenda kumg'ang'ana na wao watu sijui mmewaokota wapi!!!
Lakini ili mwenyekiti aendelee kula na kujimilikisha chama lazma afanye hivyo kwa kuweka misukule kwan watu kama akina BAREGU huwezi kuwapelekesha kwenye maamuzi, lazma utaulizwa bila woga.
Kwa mwendo huo chadema naiona polepooooole inaanza kuchungulia kuzimu baada ya kifo.
Hongereni kwa uteuzi
Vipi kuhusu Kansa Mbarouk, aliambulia ngapi?MATOKEO RASMI