Tky
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 439
- 140
Kauli ya Mh Mbowe imenipa matuamain sana alipokua akto hutuba yake ya mwisho kama mwenyekiti wa chama anaye malza muda wake, CHADEMA n kama train akishuka mtu alimaanisha wasaliti wanapanda wengine alimaanisha wanachama wapya wengi zaidi ya wasaliti. Mbowe amesema tatizo la CHADEMA ni viongozi wanachama wapo wakutosha, sisi wenyewe tumeona usaliti mkubwa wa viongozi wa chama kwa kulubuniwa na watawala ili kupunguza nguvu ya upinzani. Makamanda na viongozi wapya wa chama tambueni mupo hapo kwa matakwa ya wananchi na sio kwajili ya matumbo yenu. Peoplesssssssssssssssss