Safu ya Uongozi Mpya CHADEMA

Safu ya Uongozi Mpya CHADEMA

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,021
Reaction score
9,177
MATOKEO RASMI

Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:

Makamu Mwenyekiti zanzibar

Said Issa Mohamed 645
Hamad Mussa Yusuph 163

Makamu Mwenyekiti Bara

Professor Abdallah safari
Kura za Ndiyo 775
Kura za Hapana 34
Zilizoharibika 2

Mwenyekiti Taifa

Freeman Aikael Mbowe 789
Gambaranyera Mong'ateko 20
Zilizoharibika 2


Updates
===================================================================================

Makatibu wa chadema wateule

Zanzibar-naibu katibu mkuu
1.salum walimu
mtangazaji wa channel ten na mfanyakazi wa vodacom ateuliwa kuwa naibu katibu mkuu zanzibar-chadema.

Naibu katibu mkuu
1.Johny johny mnyika
amrithi Zitto kabwe awa naibu katibu mkuu chadema.

Katibu mkuu
1. Dr. Wilbrod peter slaa
 
Wewe ni nani kwenye hiki chama?
Nnapenda kujua, Mbowe, Slaa, Msigwa, Lema, Lyimo nnawafahamu. WEWE NI NANI NA UNATOKEA WAPI.
 
cdm kwa kinahitaji mabadiliko makubwa sana kama kinataka nnchini
 
Aone yule Popo wa ACT aliyeapa kuzaa na MM kwa Mapenzi ya dhati aliyo nayo juu yake. assadsyria3
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti..Freeman Mbowe
Makamu bara.Prof.Abdala Safari
Makamu zanzibar.Issa Mohamed
Katibu mkuu.Dr W.Slaa
Naibu katibu mkuu...........
 
Na kwa sababu hizo za kukosa mabadiliko kwenye uyeuzi wao wategemee yale yale yakutopata viti vingi bungeni na hata kushika dola mana yake hawana jipya tena.
 
Hakuna safu mpya ni wale wale

Mmeanza kuweweseka?,
Nenendi kwa Mtungi akawasaidie si kada eenu?, au nendeni kwa Tume ya uchaguzi.
Chadema mlisema haifanyi uchaguzi kumwoga zitto,mara baraza litakalochaguliwa linamtaka zitto,
Mmekuwa kama kuku jike mtaisoma tu
Chadema sasa iko hadi kwenye nyumba kumi.
Mjiandae,the one who restrict changes,has to ask hinself why!!!! Peopleeeeeeeezzzzzzzzz!!!!
 
Back
Top Bottom