The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,710
Umetumwa au umerongwa? Kweli mafisadi wana mifuko mikubwa. Yaani watu mmeacha kufikiri badala yake mmejitoa ili wawatumie wapendavyo ilmradi muambulie mabaki yao mezani. Mwanangu Mnyisanzu umenena. Huyu jamaa hapaswi kwenda chooni bali Milembe kupimwa bongo lake hovyo.