Safu ya uongozi 2015

stani

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Wanajamvi,

Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake.

Rais ajaye: Edward Lowassa
Vice president: Gharibu Bilali
Prime minister:John Pombe Magufuli
Waziri wa Ujenzi:Mwakyembe
Waziri wa Sheria na Katiba: Tundu Lissu( atakuwa ameshahamia CCM)
Waziri wa Fedha: Zitto Kabwe

hebu tupeane mawazo hapa mbona nchi itanyooka...
Mbowe apewe michezo
Slaa: wizara ya Mahusiano
 
Wakati mwingine hadhi ya JF inashushwa na watu kama hawa.
 
Mijitu mingine bana! mtu unatoka chooni bila kutawaza!
 
Mijitu mingine bana! mtu unatoka chooni bila kutawaza!
 
Nenda milembe wakakufanyie uchunguzi..ivi wewe unakerwa kweli na maisha ya wazazi wako vjijini?
 
Haya ni madhara ya Pombe aina ya PINGU.Funga suruali kwa chini haraka
 


wewe sinA shaka utakuwa umetoroka milembe.
 
Mkuu, pamoja na kwamba hii ni post yako ya tano. Jaribu kuwa makini tafadhali!
 
How old are you??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukitaka kujua jf ni ya nani na ipo kwa ajili ya nani gusa chadema au kosoa viongozi wake.mleta uzi najua utakuwa umejifunza kitu hapa
 
Waziri wa mahusiano ni slaa hapo nimecheka sana
 


Hii kweli ni BONGO Fleva,
FASU ndio kitu gani????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…