Safiri na urber technology

Safiri na urber technology

Tunakaribisha yeyote mwenye gari ndogo nzuri lenye kiyoyozi kuweza kufanya kazi nasi ,kama uber technology,tunatoa fulsa Kwa wafanya kazi wa na wafanya biashara kuongeza kipato ukiwa na gari yako ndogo .Jiunge nasi Leo Kwa mafanikio zaidi. Kwa maelekezo zaidi unaweza ni tafuta Kwa 0682059217.na Kwa abiria wetu pata application yako ya UBER TECHNOLOGY na kuingiza promotion code DSMBA23 na kupata ofa yako ya sh 6500 bure , kuweza kusafiri bure ndani ya dar es salaam Kwa umbari wa gharama hiyo.karibuni nyote.
 
me nna suzuki vitara linafaa?
 
Sasa wanapataje faida wakati wanatumia petrol?
Faida unapata Sana mkuu ndio maana pesa hupokea mwenyewe Kwa abiria ana unaturejeshea ziada uliyoingiza kupitia app yetu 25% tu. Na pia kunakuwa na bonus zakutosha. Kwa hiyo karibu Sana mkuu ,unaweza kujiunga ukipendezwa unaendelea na kama haijakupendeza unaweza jitoa ,Ila ninaimani huwezi toka Kwa faida utakazo zipata ukifikisha Safari 50 unapata lakimoja bonus.
 
Fanya biashara ukiwa na mda , bila kulazimishwa au kusukumwa ukiwa na uber technology services .Ila ukiwa na gari ndogo isiyo tumia mafuta Sana , itakupafaida zaidi .
 
Pia pata app ya uber na usafiri ndani ya dar es salaam bila wasiwasi masaa 24.
 
Back
Top Bottom