Hamia zenji mkuu maisha yaendeleeNi kweli kabisa Mkuu . Bwana Yesu(Nabii Issa) aliwahi kuhitimisha maneno yake kwa Kusema: "Kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake, Na kama akijaribu, wote wawili wataanguka shimoni" - Mwisho wa kunukuu.
Mimi naona giza sioni tunakoelekea wapi. everday ni surprise kwenye nchi hii.
Haya mambo zamani hayakuwepo, naona baadae TZ itakuwa bonge lanchi.
Tatizo letu tunataka tuone mafanikio leo leo wakati nchi ilikuwa imefika pabaya, kiukweli kubadili system ilihitaji maamzi magumu na roho ya ujasri kama ya huyu baba mwenye nyumba.
Nimawazo yangu tu.
Mkuu tujaribu kuwaelimisha watu, ili wasipotezwe kwani kipindi hiki kinahitaji uvumilivu sana, lakini kwa sisi watz huwa wepesi kutoa rawama na kusahau nyuma.Ni wachache wenye kujua ukweli huu