SAFI SANA MKUU WA KAYA.

msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,764
3,188
f27075df276db7687e97805a03a1eeff.jpg

Haya mambo zamani hayakuwepo, naona baadae TZ itakuwa bonge lanchi.
Tatizo letu tunataka tuone mafanikio leo leo wakati nchi ilikuwa imefika pabaya, kiukweli kubadili system ilihitaji maamzi magumu na roho ya ujasri kama ya huyu baba mwenye nyumba.
Nimawazo yangu tu.
 
Zikikusanywa, zikaonekana, zikafanya kazi za kuboresha taifa haina shida.
 
Ni kweli kabisa Mkuu . Bwana Yesu(Nabii Issa) aliwahi kuhitimisha maneno yake kwa Kusema: "Kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake, Na kama akijaribu, wote wawili wataanguka shimoni" - Mwisho wa kunukuu.

Mimi naona giza sioni tunakoelekea wapi. everday ni surprise kwenye nchi hii.
 
Hamia zenji mkuu maisha yaendelee
 
f27075df276db7687e97805a03a1eeff.jpg

Haya mambo zamani hayakuwepo, naona baadae TZ itakuwa bonge lanchi.
Tatizo letu tunataka tuone mafanikio leo leo wakati nchi ilikuwa imefika pabaya, kiukweli kubadili system ilihitaji maamzi magumu na roho ya ujasri kama ya huyu baba mwenye nyumba.
Nimawazo yangu tu.

Ni wachache wenye kujua ukweli huu
 
ccm ndio ile ile tu hata wapewe miaka 500 mingine ya kutawala hakutakuwa na jipya
 
ungejua undani wa hio kitu, usingesema. Fanya uchunguzi basi ujue ukweli mwenyewe bila kudanganywa

mimi sio mchochezi
 
Ni wachache wenye kujua ukweli huu
Mkuu tujaribu kuwaelimisha watu, ili wasipotezwe kwani kipindi hiki kinahitaji uvumilivu sana, lakini kwa sisi watz huwa wepesi kutoa rawama na kusahau nyuma.
Nikina nani waliokuwa wanalalamika kuhusu ufisadi na utakatishaji wapesa? Kama siyo sisi na je! Si ndiyo sisi tulikuwa tunalalamika kuwa watumishi wa umma hawafanyi kazi kama ipasavyo, vipi leo!! Hatakama kuna shida ila siyo kama zamani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom