Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Natoka Morogoro naelekea Singida. Pale 100 km kutoka Morogoro imeanguka tanker ya mafuta, imeanguka pale pale kwenye lami. Wanakijiji wanakuja from all sides kuchota mafuta.
Nimeona malori mengi yamepaki pembeni. Nimeuliza,"Huyu hapa ameanguka, lakini hawa wengine wana shughuli gani hapa?"
Nimeambiwa,"Ah, hawa si ndio wamesimama na wao kuchota mafuta.!"
Ndiyo Kleptocracy tuliyo nayo. Wananchi wanajifunza wizi kutoka kwa Serikali.
Umeona jana Kash Kash Nepal. Waandamanaji walikuwa wanapinga Kleptocracy.
Halafu Nepal ndilo alikozaliwa Buddha.