Dah bahati mbaya sana nimekuja kukugundua nshaondoka but we ndo ulikuwa wa kutafutwa kwa kweli (PPF Njiro au vile vi apartment vya Kaloleni) Ila next week nikija ntakusaka kwa kila mwanga iwe wa jua, mwezi au hata wa zile taa za mianzini au pale standkakwambia nani mi nakaa mavumbini kwa msola?mtt kitu cha PPF lione,unadhani mm wewe?kwanza wewe utakua unakaa kambi ya fisi tu lazima coz muonekano wako ni wa huko!
Dah bahati mbaya sana nimekuja kukugundua nshaondoka but we ndo ulikuwa wa kutafutwa kwa kweli (PPF Njiro au vile vi apartment vya Kaloleni) Ila next week nikija ntakusaka kwa kila mwanga iwe wa jua, mwezi au hata wa zile taa za mianzini au pale stand
Sikuonana nao ati, ndo nshaweka reservation kwako hivyo so nikifika tu you will be the first to knowM'Jr usharudi kwenu?duuh!hujafanikiwa hata kuonana na preta o arushaone?bas next tym inabidi ututafute kiukweli tukuonyeshe swagz za kwetu ndani ya jiji letu!
kakwambia nani mi nakaa mavumbini kwa msola?mtt kitu cha PPF lione,unadhani mm wewe?kwanza wewe utakua unakaa kambi ya fisi tu lazima coz muonekano wako ni wa huko!
Oraaait. Nimekupata vema! Kumbe unakaa pale PPF njia ya kwenda Iboru! Ukipandisha ndio unapita Iboru au unaenda hadi Bangata?
Kuja kabisa........utatukuta tumejaa tele.......
Ila unakujaje ktkt ya wiki bana........?
Hahahahaaa it wasnt OIL and Gas, it was Zanzibar and Mtwara
Hahahahaaa it wasnt OIL and Gas, it was Zanzibar and Mtwara