Safari za Rais Samia kwenda Dodoma - Dar na Dar - Dodoma zimekuwa nyingi sana

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,736
General Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma.

Ni wamati wa Serikali kuamua either irudi Dar au iwe Dodoma moja kwa moja, kupunguza gharama.

Ukiangalia Mama kila siku utamuoma anapokelekwa Dodoma akitokea Dar au anapokelewa Dar akitokea Dodoma.

Kwa Mawaziri ni hivyo hivyo, ni Dodoma to Dar au Dar to Dodoma.

Nadhani ni wakati sasa Mama aamue either Serikali irudi Dar au basi iwe moja kwa moja Dodoma kuliko ya sasa ya Dar to Dodoma na Dodoma to Dar.

Haya ni matumizi makubwa sana, Wanananchi wanapo bana matumizi hata Serikali inapaswa kubana matumizi pia.

Hatuwezi jadili Uchumi wa kati wakati Serikali inafanya Extravagant ya Pesa za Umma kwa Safari zisizo isha za Dar to Dodoma na Dodoma to Dar.
 
General Ulimwengu aliwahi sema kwamba yeye akiuliwa ni wapi Makao makuu ya nchi yalipo kwa sasa jibu lake litakuwa ni Katikati ya Dar na Dodoma.

Ni wamati wa Serikali kuamua either irudi Dar au iwe Dodoma moja kwa moja, kupunguza gharama...
Jiwe alilazimisha serikali kuhamia Dodoma! Hakukuwa na haja ya kupoteza mamilioni ya fedha kulazimisha jambo hili! Alitaka tu aonekana bora kuliko kina Nyerere, Ruksa, Ben na JK!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kuandika kuhusu hili,kwa kweli hizo safari za Rais na Mawaziri wake kila kukicha ni Dar es Salaam linagharimu Taifa.Tena kwa Mawaziri alipoondoka Magufuli ndio imekuwa too much.

Rais,Samia aamue kama ni Dodoma atulie Dodoma ili Mawaziri wake nao watulie.
Ni basi tu Watanzania hatujielewi lakini kodi zetu tunazotoa zinazotafutwa kwa jasho zinachezewa sana.
 
Comment usipoielewa ujue ipo nje ya uwezo wako wa kufikiri.

Nakushauri comment za namna hii usisumbuke nazo
Nazani wewe uwezo wako wa kufikiri upo hasi,maana unajibu hoja kwa mihemuko badala ya kutupa facts,kivipi alilazimisha? Makao makuu ya nchi yapo wapi? Bangladesh!
 
Back
Top Bottom