BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,231
Sasa kilichokufanya uwe na "huzuni kubwa " ni nini????
Wanabodi
Nawasilisha nikiwa na huzuni kubwa.
Wanabodi
Nawasilisha nikiwa na huzuni kubwa.
Vipi kuhusu kusafiri masaa 6 Dar -Moro sio shida?
Sasa kilichokufanya uwe na "huzuni kubwa " ni nini????
Konda, mpiga debe, abiria mtoa mada, mwenye basi, dereva na polisi wa barabara, wote ni watu wa hovyoHuu ni ujinga
Haujaeleweka vizuri au mimi sijakuelewa vizuri,sasa madai yako hasa ni nini?
Una bifu na huyo Yahya.... maana maelezo yako japo umejitahidi kuzunguka lakini mlengwa ni huyo bwana Yahya.
Kuhusu watu kukalishwa kwenye godoro hayo wanajitakia wenyewe mtu anaona hawezi kulipa nauli kamili basi bora ahangaishwe panda shuka ili mradi tu.
Rushwa kwa Africa haiwezi kuisha mpaka sisi wenyewe tuamue, kila mtu anazo sababu za kutoa/kupokea rushwa lakini tukiamua sasa HAKUNA RUSHWA basi haiwezi kua sio mpaka taasisi flani ikataze.
Mkuu calm down watu tupige grease. Usituaribie mtu wangu.
You see?? even if you were kidding lakini umedhihirisha kua upo vizuri katika CHUKI, LOL.We binti huwezi kuvumilia ukiniruhusu niandike kitu nachohusu CHUKI binafsi, aisee nadhani post hiyo MAX mwenyewe ndio anaye ipiga ban, "USIOGOPE NAKUTANIA MTOTO MZURI".
Makala yangu ilikua ni mimi kuonyesha namna ambavyo ninakiu ya mabadiliko juu ya tabia za rushwa katika jamii yetu.
Aliyeelewa anisaidie kunielewesha...nimetoka kappa
You see?? even if you were kidding lakini umedhihirisha kua upo vizuri katika CHUKI, LOL.
Mwisho wa comment yangu nimeelezea kuhusu Rushwa.
Konda, mpiga debe, abiria mtoa mada, mwenye basi, dereva na polisi wa barabara, wote ni watu wa hovyo