Seif Kazige Mbambizi
Senior Member
- May 7, 2016
- 135
- 92
Ndugu zangu wananchi napenda ni wakumbushe kwamba Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli atakapo maliza kutumbua majibu yaliyo chini yake. Na sisi tusisahau kutumbua MADIWANI NA WABUNGE VILAZA 2020 kwasababu kutofanya hivyo ni sawa na kuendelea kufuga MAJIPU ambayo ndio kikwazo kingine kikubwa kinacho kwamisha maendeleo yetu hapa nchini. Inawezekana vipi diwani au mbunge mwenye elimu ya darasa la nne au la saba aweze kutunga sheria za nchi na kupitisha bajeti za halmashauri zetu na bunge na kusimamia utendaji wa watumishi kama vile wahandisi, wanasheria, madaktari mwenye shahada zao halafu tutarajie makubwa?