Safari Yangu

Safari Yangu

lala 1 na wewe mpana! hadi aunt bora unamfahamu mamaaa wa kusasambua! Mwenye ziara yake karibu mwanza bana, hili ndo jiji la maji bariiidi

Ahsante mkuu, lara 1 ametisha anamfahamu huyu mtu!
 
Wakuu,

Wadau mlioko mikoa nitakayoitaja hapa chini tunaweza kuonana kama mtakuwa na nafasi, halafu tukafahamiana na kupiga story mbili tatu. Nitakuwa na safari ya kutembelea mikoa ifuatayo, pindi muda utakapopatikana nitapenda kuonana na wadau wa sehemu hizo. Naweka majina ya mikoa na tarehe kama ifuatavyo:

Mwanza: 14 - 16 August 2013

Mara: 16 - 18 // (16 Mwanza na Mara, maana yake tarehe 16 August 2013, natoka Mwanza kuelekea Mara, matarajio ni kufika siku hiyohiyo)

Manyara: 19 - 21 //

Singida: 22 - 24 //

Tanga: 25 - 31 // (Subject to circumstances)

Arusha: 1 - 3 Sept. 2013

Kilimanjaro: 3 - 5 //

Mbeya: 5 - 7 //

Iringa: 7 - 11 //

Sept. 2013, 11 - Mujini
Ukija Arusha karibu Hotelini kwetu Penguin Resort Hotel,Sakina just 70 mt from Nairobi/Moshi road.Penguin Resort Hotel Arusha Tanzania Tukutane hapo mkuu..!
 
Nimepita maeneo ya BM Traders muda si mrefu tokea Kamanga.
 
Back
Top Bottom