Safari Yangu

Safari Yangu

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Wakuu,

Wadau mlioko mikoa nitakayoitaja hapa chini tunaweza kuonana kama mtakuwa na nafasi, halafu tukafahamiana na kupiga story mbili tatu. Nitakuwa na safari ya kutembelea mikoa ifuatayo, pindi muda utakapopatikana nitapenda kuonana na wadau wa sehemu hizo. Naweka majina ya mikoa na tarehe kama ifuatavyo:

Mwanza: 14 - 16 August 2013

Mara: 16 - 18 // (16 Mwanza na Mara, maana yake tarehe 16 August 2013, natoka Mwanza kuelekea Mara, matarajio ni kufika siku hiyohiyo)

Manyara: 19 - 21 //

Singida: 22 - 24 //

Tanga: 25 - 31 // (Subject to circumstances)

Arusha: 1 - 3 Sept. 2013

Kilimanjaro: 3 - 5 //

Mbeya: 5 - 7 //

Iringa: 7 - 11 //

Sept. 2013, 11 - Mujini
 
Ukifika kwetu njoo ulale kwa SULTANI
 
Mm niko Mwanza makoro-koroni uku! Sjui utakujaa?! Au utanitumia Nauli nikufate hapo utakapofikia?!
 
At least be careful, you might also encounter Matapeliz.....
 
haya welcome singida am here

Aunt Bora bado yupo? Mumewe Handsome la nguvu!!!!!!!!!! Tajiri mtoto wa hapo Singida Samayuni, yupo?

Usishangae ushankupe wote hawa watu nimewajua juzi kwenye harusi tulikuja kumuoza mtu hapo fastaaa.
 
wapo he kumbe we mwenyeji haswaa,samayuni mzee wa migegedo kwa vibinti yva mjini humu.
 
lala 1 na wewe mpana! hadi aunt bora unamfahamu mamaaa wa kusasambua! Mwenye ziara yake karibu mwanza bana, hili ndo jiji la maji bariiidi
Aunt Bora bado yupo? Mumewe Handsome la nguvu!!!!!!!!!! Tajiri mtoto wa hapo Singida Samayuni, yupo?

Usishangae ushankupe wote hawa watu nimewajua juzi kwenye harusi tulikuja kumuoza mtu hapo fastaaa.
 
Back
Top Bottom