luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Sasa mkuu mbona tena unatualibia thread yetu? Hv hapa kwa sababu jamaa kasema ni wabukoba ushaanza kuingiza uchaga?
Asante sana mkuuKunde ekeke Una akili ya maisha, safi sana
Asante sana....MkuuUzi huu naupa GOLD MEDAL kwa mwaka 2019. Wanaojua elimu ni kidato cha sita-chuo hawawezi kukuelewa
Asante sana mkuuInspiring!
Huyu ni mtani wangu wa jadiSasa mkuu mbona tena unatualibia thread yetu? Hv hapa kwa sababu jamaa kasema ni wabukoba ushaanza kuingiza uchaga?
Weka nia sometime tunafeli hesabu kwa sababu ya majukumu kuwa mengiMm mwenyewe hesabu nilipiga F kubwa sana tena naisi nilipiga negative kabisa yani mtiani wa math form swali la probability jibu nilipata 370 kuja kuuliza watabe wanasema probability uwa aizidi 1.
Yote kwa yote ninaweza kutengeneza barabara kuanzia kwenye survey mpaka surface dressing test zote kuanzia P.I,Los Angels, Carfonia bearing ratio, Free density, MDD, C2 design, Application of MC30 napita vizuri tu.
Kigezo cha kusomea ata diploma ya technician insingekuwa hesabu ningekwisha pata mpaka degree ya uhandisi.
Nitakuja kufanya ziara ya wiki mojaWachaga wa maeneo yote wameendelea nakuomba ufanye ziara Kilimandjaro ili kuthibitisha
Kilimandjaro lami vijin zipo tangu enzi,umeme tangu 1985 hatujui Mambo ya REA maji vijin kwa 99%
Huduma za kijamii kama shule zahanati nk vijin ni 99% na tena vijij vya kule ni vidgo vidgo sio ma vijij makubwa kama kagera
Wachaga wa maeneo yote wapo DEVELOPED
Machame,kirua ,marangu,vunjo,kilema,himo,uru,kibosho,rombo nk
Dah...yaani hata mimi namshangaa ...fundi gani asiyejua hisabati? ... Nashauri ukaguzi ufanyike upya kwenye miradi yote aliyoshiriki![]()
Wachaga wa maeneo yote wameendelea nakuomba ufanye ziara Kilimandjaro ili kuthibitisha
Kilimandjaro lami vijin zipo tangu enzi,umeme tangu 1985 hatujui Mambo ya REA maji vijin kwa 99%
Huduma za kijamii kama shule zahanati nk vijin ni 99% na tena vijij vya kule ni vidgo vidgo sio ma vijij makubwa kama kagera
Wachaga wa maeneo yote wapo DEVELOPED
Machame,kirua ,marangu,vunjo,kilema,himo,uru,kibosho,rombo nk
Nyie ndo mnamatatizo.Hivi kwanini ndugu zetu akina Bishanga mnapenda misifa sana?
Utafika mbali sanaHabari zenu ndugu zangu nina imani mko poa.Hii ni historia yangu fupi ya kielimu.
Baada ya kumaliza darasa la saba Bukoba nilienda Uganda sehemu moja inaitwa Kakuuto kusoma english course huu ni utaratibu uliokuwepo kwa vijana walio maliza la saba kwenda Uganda sijui siku hizi sijui kama utaratibu bado hupo kulikuwa na mawakala hii ilikuwa 2007.
Matokeo yalipo toka nilifaulu nilichaguliwa kujiunga kidato cha 1 nikiwa katika jitihada za kujiunga january mzee wangu akahamishiwa Dar 2008 ikabidi niongozane nae.
Nikaangaika nikapata shule Wilaya ya Temeke nikaanza shule 2011 nikamaliza form four matokeo yangu hayakuwa mazuri sana nilipata History C English B na English in literature B Civics D yaliyobakia nilipata F.
Nilimpelekea mzee result akasema hapa uchague urudie hama ukasome Uganda kidato cha tano nikaona isiwe shida nikachagua kwenda Uganda kupiga advance 2012 mwezi March nikafunga safari mpaka nyumbani Bukoba nikaanza kuulizia shule za bei nafuu mzee alisema isizidi laki 7 kwa mwaka.
Nikafanya mchakato wa passpprt nikapata ya mwaka 1 nikapanda gari mpaka Kampala kipindi hicho nauli ilikuwa elfu 15 Bukoba to Kampala nikasaka shule nikapata ya walokole ada ilikuwa laki 5 kwa mwaka nikarudi home Bukoba nikamcall mzee nikampa data.
Huku nikisubiri mzee aje twende Uganda nikajiunge na shule nikapata kibarua cha kusaidia mafundi kujenga yalikuwa majengo ya zahanati kwa siku nilikuwa nalipwa elfu 6 nikaona mafundi wanapiga hela nakaachana na mawazo ya kusoma advance nikaona bora niingie Veta.
Nikamueleza b mkubwa akakubali shingo upande ila mzee alinielewa akanipeleka shirika la elimu Kisarawe 2013 nikapiga Mason mpaka level 1nilimaliza. Sikuendelea na le level 2 nikaanza kufanya kazi hela zinakuja tu jengo la mfuko wa jamii lilinipa uzoefu mkubwa hapo station posta ya zamani sikujuta kusoma ufundi.
2015 niliamua kurudia baadhi ya masomo nikaagiziwa kwa Aziz kuna ticha anafundisha fresh anaitwa Ginga nikachua masomo 3 Kiswahili, Civcs na Math bahati nzuri nilipata kazi kupitia kampuni ya Estim kujenga ubalozi wa India nikapata muda wa kuingia job nikawa naudhuria darasa la jioni nikafanya mtihani civics D Math F Kiswahili C, nikaunganisha matokeo 2016 nikaanza kusoma Advance 2017 nikafaulu.
Nikatulia kwa sasa naendelea na shughuli zangu za ujenzi hapa Bukoba kuna project nafanya mwezi kesho nitakuwa Zanzibar sehemu moja inaitwa Fumba naenda hii ndio raha ya ufundi ulali njaa.
Kwa kuwa nina malengo ya kuwa engineer narudi Veta kusoma level 2 pale Kibaha Kongowe mwakani January ili nipate sifa ya kusoma ngazi ya juu.
Ushauri wangu nyote mliosoma masomo ya art kwenda kusoma chuo kikuu kupata ajira ni mtihani ni bora ukasoma fani kuepuka kuwa mzigo baadae.
Asante sana mkuuUtafika mbali sana
Karibu marangu sawaya mkuuWewe unatoka kijiji gani mkuu
Yah fanya ziara uje utoe ushuhuda mwenyewe,maana kilimanjaro nzima wananchi wake 90% Wana maisha boraNitakuja kufanya ziara ya wiki moja