Siku nilipojaribu Utakatifu

Siku nilipojaribu Utakatifu

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,068
Reaction score
15,145
Nilipata msukumo wa ndani.

Nikaanza kushindana na mawazo yangu...likija wazo baya nalipotezea.

Nikafanya usafi wa mahala ninapoishi kuanzia chumbani..bafu ,,choo..jiko n,k

Nikajifanyia usafi wa mwili kucha nywele naam na vinyweleo.

Kila baada ya masaa matatu ninafanya maombi ndani kwa ndani.

Yakija mawazo ya kiduanzi naimba nyimbo za kuabudu ndani kwa ndani,

Usiku kabla ya kulala namshukuru Mungu kwa yote hata kama nilikutana na changamoto.

Najitahidi kuamka usubuhi mapema alfajiri,,naanza na kumshukuru Mungu..halafu usafi wa kitanda na chumba.

Baada ya hayo naingia kwenye mazoezi halafu bafu...kisha naenda kwenye utafutaji wa rizki.

Nilikomaa kwa mtindo huo...ilipofika siku ya saba kila mtu akawa ananiambia wazi wazi..."mzee umebadilika__unakuwa kijana"

Kimsingi nilibadilisha hata vyakula nilikuwa nakula vya kawaida sana kama dagaa..maharage.. mboga za majani na matunda na kuhakikisha tumba halijai usiku.

Ghafla nikapata msukumo na kupenda kusoma neno la Mungu.

Ilipofika siku ya 12 nikaona mwenyewe wazi wazi jinsi mambo yanavyobadilika ..kuanzia kwenye rizki..muonekano..mahusiano mpaka Roho ya ustahimilivu...{nilishangaa situkani mtu __na wao wakawa wananishangaa}

Nikapata moyo..nakaamua kufunga mara 1 kwa wiki masaa mengi kadiri nilivyo jaaliwa.

Ilipofika siku ya 40 ndio nikapatwa na mambo ambayo hakuna namna naweza kuandika hapa nikaeleweka,

ITAENDELEA>>>>>>>>



View: https://www.youtube.com/watch?v=MGpJd2pldfw&list=RDMGpJd2pldfw&start_radio=1
 
Ila hii hukuacha
16981.jpg
 
Ilipofika siku ya 40 ndio nikapatwa na mambo ambayo hakuna namna naweza kuandika hapa nikaeleweka
Uligeuka ukawa shoga au? Wewe watu wanakwambia mwanetu sikuhizi vipi tena umeanza kuvaa vijora na madela wakati wewe wa kiume unamaana gani lakini? Unamuiga Yesu zile nguo alikua anavaa kipindi kile kujikinga na vumbi na upepo mkali kule Jangwani?
 
Back
Top Bottom