Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,133
Jamaa mwenyewe kazingua anasusa bila sababu. Kaomba maoni ya wadau, wadau wengi wamesema leta kama ilivo ila mmoja tu ndo kasema fupisha yeye kachukua maoni ya mmoja kutusurubu.tatizo mijitu ya Jf ni miMuch know sana mam"ae,.,
Sasa kama nyie mnampangia namna ya kuwasilisha story yake yeye hapo ana kosa gani?We nae kuwa mwanaume mtindo wa kususa susa sio wa kiume, haya sasa ndio unamsusia nani, ukisusa lengo(dhamira) ya kuleta uzi wako utakuwa umelifikia,
We unadhani woote humu timamu, we unataka, uungwe mkono na kila mtu, hao manabii tu walikuwa wanapingwa, anapingwa messi kwenye dunia ya soka[emoji23]
Hivi vitu mbona vya kawaida hasa kwa baharia kama wewe unaesema umepitia vingi..
KUWA MWANAUMEE!!
Nakuona Mzee wa kususa!Msimbembeleze. Kama hana story alale mbele..... Siyo kuleta ujinga halafu asikosolewe
Wewe ndio namba moja kupenda kubembelezwa hapa JF na story zako za uongo halafu zisizoisha. Halafu hapa unasema "msimbebeleze".Msimbembeleze. Kama hana story alale mbele..... Siyo kuleta ujinga halafu asikosolewe
Si iwe fupi tu kuliko ndefu na alafu kuiendeleza mpaka mtongozwe.Habari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana.
Kweli mkuu..Naona waleta stori wengi wa humu wana vitabia vinavyofanana..Nakumbuka kama nilikudokeza kwamba story za humu tegemea chochote.
Ndo chochote hiki.
Mkuu..Karibia nyuzi zote za Jf huwezi kosa wajuaji,wazinguaji,mizaha n.k..Hata uongee vipi hao wataendelea kuwepo tu...Jf iko hivyo..Kikubwa ni ww muhusika kustick kwenye plan/lengo lako... Huu alioleta jamaa ni utoto..Sasa kama nyie mnampangia namna ya kuwasilisha story yake yeye hapo ana kosa gani?
Wenyewe mnamwambia story ingeshaisha kama sio kuweka maelezo mengi yasiyo ya muhimu. Hapo ameweka summary bado mnalalamika tena?
Binadamu hata tufanyiwe nini haturidhiki asee.
Kwa hiyo umeamua kukubaliana na hao wapumbavu, wamekutoa kwenye reli na ww umekubali, acha udhaifu huo. Ww andika chochote mwenye kutaka kusoma asome asiyetaka alale mbele." Huwezi kumfanyia jambo jipya msafiri au mtu aliyepitia misukosuko ya kila namna.
Ni sawa na bure kabisa kumlewesha aliyelewa"
Nitazingatia mawazo yenu, kama mlivyojichagulia hapa, ijapokuwa najua mtakosa mambo mengi muhimu na nyeti zaidi niliyopanga kuwafunulia hapa.
Namaanisha kila kitu mtaambulia juu kwa juu tu na hakuna mtakachojifunza zaidi ya makapi ya kawaida tu.
" HEKIMA NA SIRI ZITAKUFA NA WENYE BUSALA"
Tunaendelea. (Ufupi wa habari umezingatiwa.)
Baada ya kuchelewa kwa usafiri asubuhi ya siku ya kwanza pale Mafinga. Kesho yake tulifanikiwa kufika maeneo ya panapoitwa Songwe kwa sasa.
Tuliishia hapa kwa sababu ya mtindo wetu wa kuunga unga safari. Na kuna mengi muhimu yaliyotusibu wakati wa safari ya kipande hiki cha kati ya Mafinga na hapo Songwe.
Miaka hiyo hakukuwa na maendeleo sana Tanzania, maeneo mengi hayakuwa na vitu kama vilivyopo nyakati hizi.
Kuna mtu ameuliza swali kwenye komenti, akitaka kujua kiasi cha pesa tulizokuwa nazo na je? tuliifadhi vipi?
Nasikitika sita andika hapa kila kitu, ili tu wale wenye mashauri tofauti tusiwakwaze.
Kule Botswana, watu ni wakalimu sana. Watu wanaheshimu mawazo na hisia za wengine mara elfu zaidi ya ujuavyo.
Ni sawa na kutomshangaa Mtanzania mlevi aliyelowea Urusi.
Tabia zetu zinabadilishwa na mazingira tuliyopo.
Tulifanikiwa kufika border ya Nakonde. Haikuwa nzuri na salama kama sasa.
Tunduma ilitupasa tukae sana, maana kwanza hatukuwa na nyaraka zozote, pili hatukuwa na moja wala mbili kuhusu namna ya kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha yoyote ng'eni zaidi ya kiswahili, tatu pesa yetu haikuwa nyingi na kuibadili haikuwa kazi rahisi.
Nne tulipaswa kuwa na connection na wazamiaji wengine zaidi ili iwe rahisi kwetu kutimiza azma yetu.
Mipango si ukuta, mwenzetu mmoja baada ya kunogewa na mji na watoto wa karii pale border, aliamua kabisa kughaili safari na kutekwa na mtoto wa kinyakyusa.
Almanusura tukwame wote pale Nakonde one stop border. Haikuwa sehemu salama kabisa kama wewe sio mjanja mjanja.
Asilimia 99 wanataka aandike kwa kirefu, boya mmoja ambaye ni asilimia 1 ametaka aandike kwa kifupi, na mwandishi kaamua kumzingatia, yaani mtu mmoja mvivu wa kusoma apangie watu namna ya kuandika. Ujinga huu.Sasa kama nyie mnampangia namna ya kuwasilisha story yake yeye hapo ana kosa gani?
Wenyewe mnamwambia story ingeshaisha kama sio kuweka maelezo mengi yasiyo ya muhimu. Hapo ameweka summary bado mnalalamika tena?
Binadamu hata tufanyiwe nini haturidhiki asee.
Ni kweli lakini watu wanatakiwa wajifunze kuwa tuna personalities tofauti tofauti. Kuna mtu angeweza kupuuzia na kuendelea kushusha story lakini kuna mtu mwingine sio mrahisi ku handle huo ukosoaji usiokuwa na maana mwisho wa siku anaona ni heri aache.Mkuu..Karibia nyuzi zote za Jf huwezi kosa wajuaji,wazinguaji,mizaha n.k..Hata uongee vipi hao wataendelea kuwepo tu...Jf iko hivyo..Kikubwa ni ww muhusika kustick kwenye plan/lengo lako... Huu alioleta jamaa ni utoto..
Wewe ndio namba moja kupenda kubembelezwa hapa JF na story zako za uongo halafu zisizoisha. Halafu hapa unasema "msimbebeleze".
Ama kweli nyani haoni kundule. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu 'maumivu'.
Naomb fafanua kila kitu,stor ikiandkw kwa ufup utam hautoonekan" Huwezi kumfanyia jambo jipya msafiri au mtu aliyepitia misukosuko ya kila namna.
Ni sawa na bure kabisa kumlewesha aliyelewa"
Nitazingatia mawazo yenu, kama mlivyojichagulia hapa, ijapokuwa najua mtakosa mambo mengi muhimu na nyeti zaidi niliyopanga kuwafunulia hapa.
Namaanisha kila kitu mtaambulia juu kwa juu tu na hakuna mtakachojifunza zaidi ya makapi ya kawaida tu.
" HEKIMA NA SIRI ZITAKUFA NA WENYE BUSALA"
Tunaendelea. (Ufupi wa habari umezingatiwa.)
Baada ya kuchelewa kwa usafiri asubuhi ya siku ya kwanza pale Mafinga. Kesho yake tulifanikiwa kufika maeneo ya panapoitwa Songwe kwa sasa.
Tuliishia hapa kwa sababu ya mtindo wetu wa kuunga unga safari. Na kuna mengi muhimu yaliyotusibu wakati wa safari ya kipande hiki cha kati ya Mafinga na hapo Songwe.
Miaka hiyo hakukuwa na maendeleo sana Tanzania, maeneo mengi hayakuwa na vitu kama vilivyopo nyakati hizi.
Kuna mtu ameuliza swali kwenye komenti, akitaka kujua kiasi cha pesa tulizokuwa nazo na je? tuliifadhi vipi?
Nasikitika sita andika hapa kila kitu, ili tu wale wenye mashauri tofauti tusiwakwaze.
Kule Botswana, watu ni wakalimu sana. Watu wanaheshimu mawazo na hisia za wengine mara elfu zaidi ya ujuavyo.
Ni sawa na kutomshangaa Mtanzania mlevi aliyelowea Urusi.
Tabia zetu zinabadilishwa na mazingira tuliyopo.
Tulifanikiwa kufika border ya Nakonde. Haikuwa nzuri na salama kama sasa.
Tunduma ilitupasa tukae sana, maana kwanza hatukuwa na nyaraka zozote, pili hatukuwa na moja wala mbili kuhusu namna ya kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha yoyote ng'eni zaidi ya kiswahili, tatu pesa yetu haikuwa nyingi na kuibadili haikuwa kazi rahisi.
Nne tulipaswa kuwa na connection na wazamiaji wengine zaidi ili iwe rahisi kwetu kutimiza azma yetu.
Mipango si ukuta, mwenzetu mmoja baada ya kunogewa na mji na watoto wa karii pale border, aliamua kabisa kughaili safari na kutekwa na mtoto wa kinyakyusa.
Almanusura tukwame wote pale Nakonde one stop border. Haikuwa sehemu salama kabisa kama wewe sio mjanja mjanja.
Huu uzi ushakua wa kipuuzi,sirudi tena hapa[emoji125][emoji125]
Ukishaona watu wanakupangia story ya kuandika, ni vizuri kutopoteza muda wako. Ilipofikia inatosha kiongozi.
Critics hao ni professionals na wana criticize kwa kutumia varieties mbali mbali za criticism kama logical criticism, factual criticism, negative criticism, positive criticisms ambazo overall ni jambo zuri.Wewe ni msomaji mzuri wa vitabu na unatazama movie, kuna watu ambao ni vitengo vya kutoa makosa na kufanya rating (mfano Rotten Tomatoes).
Hawa ndiyo kazi yao na watakosoa kila wanachoweza kukosoa.
Unapoamua kuandika, hakikisha kwamba unaweza kupambana nao, kwa sababu wapo tu hawa.
On the other note: Unaanza story, episode ya kwanza ikiisha unasema nitaendelea baadae usiku, usiku unaisha inakuja kesho bado hujaandika, hii nayo unataka tuwabebeshe lawama ponda ponda? Kwa nini usitaje muda ambao una uhakika nao au upige kimya kabisa?