Safari yangu ya dhahabu Botswana

Sio Abbas club ni Harbours club, dar naijua karibu kila Kona, dar ni sebuleni kwangu
Timu ya mwarabu iliishia wapi? Nimekuja Sana kucheza ndondo hapo, nilikuwa nipo Kinondoni timu ya wakati ujao. Nimemchapa Sana buti Redondo
 
Habari wakuu. Nimepata kupitia maoni yenu mengi hapa. Wengi wenu mnaonesha mnataka habari hii iwe fupi zaidi, yaani ni sawa na niseme tulifika tunduma kisha Zambia, alafu Zimbabwe na mwisho Botswana? Na hapo ndipo uwe mwisho wake?
sitakuwa na maana yoyote kama nitaandika kwa uchache angali nayaacha gizani mambo muhimu yenye yamenifanya niandike haya.
Nasubili mrejesho toka kwenu. Ahsanteni sana.
 
Achana nao ww mwaga story hapa
 
Mwaga details mkuu. Andika kila ulichonacho kichwani. Kama kuba mtu anaona kuna maneno yasiyo ya muhimu, basi aachane nayo asome yale anayoyaona ya muhimu!
 

We tiririka dingiii..
 
Hapa JF wajuaji wengi sana mkuu. Asante tumeshajua kuwa ulifika Botswana wewe bora uendelee na mambo yako tu maana binadamu hatuna shukrani.

Yani hatukulipi lakini tunakupangia jinsi ya kufanya. Bora ujikite kwenye mambo yako tu huu ujinga wa hapa ndani umezidi sasa.
 
Teh teh teh...
 
Nao midinaiti kamu inifronti of Jf Wii noo yuwili neva leti asi dauni laiki Kegani Bashite
 
lete story acha maneno!!!
 
Ahsante kwa maboresho.
 
Hata ukisema hapo ndio mwisho inatosha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…