Huu ni kama wito wangu ndugu Dudumizi. Kwangu ni wakati sahihi wa ku-share nanyi mambo mbali mbali ya nyuma kidogo huko, ili kufanya maisha yetu yenye kumbukumbu nyingi kubakia hapa siku zote. Kuna mengi hapa kaa tayari.Mkuu bila shaka naona na ww umekuja kupima upepo afu uishie njiani kama mwenzako, lkn kwa uandishi huu i guess hautofika mbali, yan utaukimbia mapema uzi wako mwenyew, maana kama mechi umeenza kwa kutoa boko golini kwako.
UmeonaAhaa weekend murua
Ok mkuu!Huu ni kama wito wangu ndugu Dudumizi. Kwangu ni wakati sahihi wa ku-share nanyi mambo mbali mbali ya nyuma kidogo huko, ili kufanya maisha yetu yenye kumbukumbu nyingi kubakia hapa siku zote. Kuna mengi hapa kaa tayari.
Hivi yule wa south hakumaliza mm sijaifatilia tena mkuuKama ni Episode ziishe zote la sivyo tutawapiga ban!!πππππ€πΎπ€πΎ
Yule mtoto wa makonda Keagan Paul hakuimalizia......!!Hivi yule wa south hakumaliza mm sijaifatilia tena mkuu
Daah kweli kiboko ila keagan aliongea ukweli atakua bado yupo jozi anafikiri jinsi ya kurudi nini...Yule mtoto wa makonda Keagan Paul hakuimalizia......!!
No mkuu ana thread zake mbili zinafanana ila kajichanganya....raia wanadai ni chai ya moto iliyokosa bitesDaah kweli kiboko ila keagan aliongea ukweli atakua bado yupo jozi anafikiri jinsi ya kurudi nini...