Midnight
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 228
- 681
- Thread starter
- #21
Huu ni kama wito wangu ndugu Dudumizi. Kwangu ni wakati sahihi wa ku-share nanyi mambo mbali mbali ya nyuma kidogo huko, ili kufanya maisha yetu yenye kumbukumbu nyingi kubakia hapa siku zote. Kuna mengi hapa kaa tayari.Mkuu bila shaka naona na ww umekuja kupima upepo afu uishie njiani kama mwenzako, lkn kwa uandishi huu i guess hautofika mbali, yan utaukimbia mapema uzi wako mwenyew, maana kama mechi umeenza kwa kutoa boko golini kwako.