Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
hadithi yako inatufundisha nini?
Kabisaaa! Mwanamke anaekutakia mema na anaejielewa hawezi ruhusu ucezee hela hivyo. Wanawake wanachangia kiasi kikubwa kudumaa kiuchumi kwa hawa viumbe. Unakuta mtu biashara yake ya kawaida tu ila anajipinda kumnunulia mdada nguo ya laki, sijui handbag ya 75 elfu!!! Ivi mbona kuna vitu vizuri vya kiwango chako???Ni story, kwahiyo anaandika kile anatamani.
Ila akili za hawa watu zikiamiaga chini ndio basi tena, kama ni mumeo mkistuka mmefilisika.
Na wao kujitutumia kunawaponza sana, vitu viko nje ya uwezo wake why ajitutumue? Kutaka sifa tu, na mwanaume wa hivyo hata akiwa mumeo basi ujue una kazi kubwa mnoo ya kucontroll pesa za familia for the rest of yo life, lasivyo imekula kwenu.Kabisaaa! Mwanamke anaekutakia mema na anaejielewa hawezi ruhusu ucezee hela hivyo. Wanawake wanachangia kiasi kikubwa kudumaa kiuchumi kwa hawa viumbe. Unakuta mtu biashara yake ya kawaida tu ila anajipinda kumnunulia mdada nguo ya laki, sijui handbag ya 75 elfu!!! Ivi mbona kuna vitu vizuri vya kiwango chako???
umenichekesha niko na family friend Muhaya ni hodari wa kuongea anapenda kusifu siku akija home anapiga picha kila kona sasa hizo mbwembwe zake sijui hata anapata wapi maneno yakuongea hua nachekaaaaaaaaaaaa...Wahaya ndio zenu uongo uongo tu nshomile wahed