Tanzanian kid
Member
- Apr 1, 2025
- 98
- 143
💻 Nilianza na simu yangu. Sio laptop.
Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube.
Nilitengeneza web pages ndogo ndogo kupitia simu, nikijifunza hatua kwa hatua.
Sikuwa na laptop yangu kwa wakati huo, kwa hiyo nilikuwa naazima laptop za marafiki kadri nilivyopata nafasi.
Pia nilitumia nafasi ya kuwa chuoni — kila venue ilikuwa na sehemu ya Ethernet cable, na nilitumia hiyo access ku-load tutorials na kufanya mazoezi kila nilipopata muda.
Haikuwa rahisi, lakini haikuhitaji kuwa perfect. Ilihitaji tu nia, muda, na uthubutu.
📌 Leo bado najifunza — na bado nasimamia misingi ile ile:
Jifunze na kile ulichonacho. Songa mbele kila siku.
Kama unataka kuingia kwenye tech lakini unahisi huna kila kitu tayari — kumbuka, unaweza kuanza na chochote, hata simu yako.
#TechJourney #CodeWithMe #FrontEndDeveloper #LearningInPublic #HustleMindset #LinkedInTanzania