Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Machizi wawili walikuwa ndani ya
treni safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma, wakati safari ikiendelea
chizi wa kwanza akachungulia dirishani akamwambia
mwenzake, "Mwanangu unaona miti
inavyokimbia kuliko treni?" Chizi wa pili akamjibu, "Naona, itatubidi safari ya kurudi Dar tupande
miti ili tufike haraka."