Ndanda to Lomwe
Member
- Aug 7, 2008
- 31
- 1
Spika wa bunge amewasili mjini Urambo majira ya alasiri akitokea Tabora ambako alitua na ngege ya pricision iliyokea Dar,mjini Tabora alipokelewa na wanafamilia.
Baada ya mapumziko ya muda alianza safari ya kuelekea Urambo,kama kilomita 20 kutoka Urambo ndipo yalipoanza maandamano ya kumpokea ambayo yalikuwa yakisimamishwa na wananchi wakitaka hata wasikie sauti yake,naye hakutaka kuwakatisha tamaa,alilazimika kuhutubia mikutano 3 leo akiwa katika vijiji vilivyopo njiani kuelekea Urambo,amewaambia wanachi wasiwe na wasiwasi kwa yaliyotokea DODOMA,yeye hatabadilika hata kidogo na ataendelea na mapambano juu ya ufisadi na hakuna wa kumtisha.
Baada ya hapo akaendelea na hutuba kwa kuzungumzia juu ya maendeleo namafanikio katika kipindi chake cha Ubunge na kuwajulisha wananchi kuwa sasa barabara ya Urambo - Tabora iaanza kuwekwa lami. http://picture2[IMG][/quote]
siasa za bongo bana!!!!!!!!!
Itaendelea..............Hebu tujikumbushe waliopokewa kwa maandamano:
Edward Lowassa - Monduli
Andrew Chenge - Bariadi
Zitto Kabwe - Dar
Samuel Sitta - Urambo
Nafasi ipi mkuu...Hizo ni drama tu,usiziamni sana kivileNaona CCM hiko kwenye matatizo makubwa , kama kile kilichoandikwa hapo juu ni cha kweli. Na inaonyesha dhahiri ya kuwa CCM ina tatizo kubwa la uongozi kwani message wanazotoa viongozi wa nafasi za juu zinapingana. Hili sio jambo zuri kwa chama ambacho kinataka kuendelea kuongoza. Wapinzani nafasi mliyokuwa mkiiomba, sasa mmeipata.
kazi kweli kweliHe he he kazi ipo bunge lijalo huo mkuki utawatoa mafisadi wote mbio
ngoja nisafishe masikio tusikie yajayo
Ndanda to Lomwe,
Yaaani hata mwenyekiti wa CCM mkoa hakufika kumpokea?
Masanilo,
Nipo ndugu yangu, na wewe tu za ujenzi wa Taifa?
sammykm70Mh! nahisi wanatucheze mazingaombwe tuu hapo! tumaini ni finyuuu kabisa.. wapo pamoja kabisa... Ni ipi kauli ya baba mwenye nyumba had sasa??? hapo ndipo kitandawili cha mazingaombwe kinapokuja..