Safari ya mwisho ya Yusuf Asukile Seleman

Wanyakyusa pamoja na kuupokea ustaarabu wa Waarabu hawajaacha Desturi zao kama Makabila mengine hapa nchi hasa wale wa Mwambao wa Pwani.

Kuna msiba ulitokea kijiji cha Kapugi, Marehemu alikuwa Mzee (Mwanaume) wa kiislam, ulipofika muda wa mazishi tulijumuika wote wanawake kwa wanaume [emoji12]

Tunachagua mazuri tu, haya mwengine bakini nayo wanaume wa Dar es Salaam

Ahsante kwa taarifa. Hapa kuna kazi kubwa juu ya dini na utamaduni wa watu husika.

Mfano ishu nyengine ni hiyo kuweka picha ya marehemu juu ya jeneza lake.

Tuwaachie wenyewe
 
Maziko ya Aboud Jumbe unayalinganishaje na Balali kwa maana ya mtizamo wa jamii juu ya kila mmoja wao wakati wa uhai wao i.e Alhaji alishutumiwa na serikali lakini jamii ikiona anaonewa ilihali Balali "ilidaiwa na serikali" kuwa alisakamwa kwa maneno na raia huku jamii ikiiona kauli hiyo ya serikali ni ghilba!!!!

Mwishowe Aboud Jumbe kuacha wosia ulioifedhehesha serikali (kukataa kuzikwa kiserikali)
Liambie jukwaa tafadhali.
Kwa hiyo aliacha wosia mazishi yake yawe hivyo?

I am missing the point. Umeeleza mazingira yaliyozunguka maisha ya Jumbe na Bilali halafu unasema niieleze jamii, nieleze nini, sijaelewa.

Hakukuwa na mivutano yeyote ya kichama kwenye mazishi ya Balali, msiba ulikuwa controversial kwa sababu, kwanza, ulikuwa private funeral, na pili, ulijawa na hisia za kijima kwamba mwili ulikuwa msukule. Jumbe mazishi yake yalikuwa politically uneventful, hakuna aliyevutana kisiasa wala kifamilia. Aliacha wosia ambao walikaa na serikali wakafikia muafaka quietly and seamlessly. Sasa sielewi kwa nini unakazania Bilali, Jumbe, Bilali, Jumbe. Tunaongelea huyu kiongozi ambae amezikwa na fanfare zote za CHADEMA. Chama kime hijack mazishi.

Begs the question, watu wa CHADEMA ambao wamewahi kuitumikia nchi hii tokea kabla hata ya ma vyama vingi kuja, waliowahi kuwa mabalozi, wanajeshi, wabunge, mawaziri, mawaziri wakuu, na wenyewe wakizikwa wanakubali wafunikwe na ma bendera ya CHADEMA?

Au wanaonea, masikini ya Mungu, wana take advantage ya hizi familia za wafiwa wa vijijini wasio na sophistication ya kusema jamani tunashukuru kwa yote ila hatutaki mambo ya ma vyama ya siasa msibani?
 
Umenielewa vema, lakini kwenye majibu ndio taabu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom