Safari ya mwisho ya Yusuf Asukile Seleman

img-20160827-wa0130-jpg.388948

Sidhani kama ni sawa kuzikwa ki CHADEMA-CHADEMA.

Ukienda kwenye nchi ambazo tumeiga haya mambo ya vyama vingi haya kwa mfano Marekani, kwa nini huwezi kukuta msiba wa Republicans??? Unadhani wafu wao hawana vyama? Nimeishi nje miaka mingi sana lakini gwanda rasmi la Democrats silijui wala bendera ya Republicans siijui inafananaje, Taifa lao lina bendera moja tu, red, white and blue.

Waafrika ni wepesi wa kugawanywa na mambo ambayo kwanza tumeiga, siyo ya kwetu, pili wao wenyewe huko kwao hawayavalii njuga; dini zao zinatugawa, demokrasia za vyama vingi zinatugawa.

Ukija kwenye makundi yetu ya asili kama makabila unakuta mara nyingi hayatugawi, ni upinzani wa watani kwa watani tena wa upendo na mzaha na uko very mild, hakuna msiba wa Mchaga ambae anazikwa na mabendera ya Kichaga! Rafiki za marehemu ambao ni Wahehe wangejisikiaje kwenye hayo mazishi?

What if, I don't know, but let's say mtoto mmoja au mke wa huyu Marehemu ni C.C.M damu, kwa nini mumkalie kooni amzike mumewe ki-Chadema Chadema? We are looking at everything through the prism of politics and everything political, resulting in massive problems for ourselves.
kwahiyo wewe ndo umeanza kuona kwa cdm pekee? huna hata point ya kuungwa mkono maana hata ciciyenu hawawezi kukuunga mkono; mbona umejikita sana kuongelea cdm hali ukijua hata wanaccm huzikwa kiccm? naona wewe unachuki binafsi na Chadema wala hunajingine la ziada.
 
img-20160827-wa0130-jpg.388948

Sidhani kama ni sawa kuzikwa ki CHADEMA-CHADEMA.

Ukienda kwenye nchi ambazo tumeiga haya mambo ya vyama vingi haya kwa mfano Marekani, kwa nini huwezi kukuta msiba wa Republicans??? Unadhani wafu wao hawana vyama? Nimeishi nje miaka mingi sana lakini gwanda rasmi la Democrats silijui wala bendera ya Republicans siijui inafananaje, Taifa lao lina bendera moja tu, red, white and blue.

Waafrika ni wepesi wa kugawanywa na mambo ambayo kwanza tumeiga, siyo ya kwetu, pili wao wenyewe huko kwao hawayavalii njuga; dini zao zinatugawa, demokrasia za vyama vingi zinatugawa.

Ukija kwenye makundi yetu ya asili kama makabila unakuta mara nyingi hayatugawi, ni upinzani wa watani kwa watani tena wa upendo na mzaha na uko very mild, hakuna msiba wa Mchaga ambae anazikwa na mabendera ya Kichaga! Rafiki za marehemu ambao ni Wahehe wangejisikiaje kwenye hayo mazishi?

What if, I don't know, but let's say mtoto mmoja au mke wa huyu Marehemu ni C.C.M damu, kwa nini mumkalie kooni amzike mumewe ki-Chadema Chadema? We are looking at everything through the prism of politics and everything political, resulting in massive problems for ourselves.
Mkuu ulihudhuria maziko ya Balali?
 
Tatizo umeingia hizo nchi km mvamizi sasa kwa kujificha kwako usirudishwe nyumbani unadhani ungeyaona haya?
 
Hii kitu hata mi huwa najiuliza sana, hasa kwenye dini. Kwanini sisi wa Africa tunapigana na kutengana kwa jili ya dini? Ikiwa dini zote zinamuhubiri Mungu, Mungu anahimiza upendo, upole unyenyekevu, kujishusha kwanini sasa dini moja wajione bora kuliko wengine. Na bado hizi dini sio asili yake sio Africa?
Ni bora watu/Watanzania/waafrika tujifunze upendo, upendo hauhesabu mabaya, upendo wa Ki Mungu.

Pumzika kwa amani marehem
 
Kweli mkuu kwameh. Waafrika tunashobokea sana vitu vya ovyo ovyo. Na katika kushobokea huko tunapitiliza na mwisho wa siku vinatuletea matatzo.

Vitu vya kufanya kwa kiasi tunazidisha - zaid sana ya wanavyo fanya tunao waiga.

Dini zetu na vyama vyetu vya siasa vimegeuka vitu vya kututenganisha, vya kutufarakanisha. Afrika imejaa mifano ya nchi ambazo damu inamwagika kisa dini tofauti au vyama vya siasa tofauti.

Tunapo mwagana damu kisa vyama tofauti vya siasa ni kama sie ni wakereketwa zaid wa vyama kuliko marekani.
 
img-20160827-wa0130-jpg.388948

Sidhani kama ni sawa kuzikwa ki CHADEMA-CHADEMA.

Ukienda kwenye nchi ambazo tumeiga haya mambo ya vyama vingi haya kwa mfano Marekani, kwa nini huwezi kukuta msiba wa Republicans??? Unadhani wafu wao hawana vyama? Nimeishi nje miaka mingi sana lakini gwanda rasmi la Democrats silijui wala bendera ya Republicans siijui inafananaje, Taifa lao lina bendera moja tu, red, white and blue.

Waafrika ni wepesi wa kugawanywa na mambo ambayo kwanza tumeiga, siyo ya kwetu, pili wao wenyewe huko kwao hawayavalii njuga; dini zao zinatugawa, demokrasia za vyama vingi zinatugawa.

Ukija kwenye makundi yetu ya asili kama makabila unakuta mara nyingi hayatugawi, ni upinzani wa watani kwa watani tena wa upendo na mzaha na uko very mild, hakuna msiba wa Mchaga ambae anazikwa na mabendera ya Kichaga! Rafiki za marehemu ambao ni Wahehe wangejisikiaje kwenye hayo mazishi?

What if, I don't know, but let's say mtoto mmoja au mke wa huyu Marehemu ni C.C.M damu, kwa nini mumkalie kooni amzike mumewe ki-Chadema Chadema? We are looking at everything through the prism of politics and everything political, resulting in massive problems for ourselves.
U know nothing, pamoja na kuaa huko "nje" nimegundua bado huna la kuisaidia jamii yako ya ulipotoka.
Labda tuanzie hapa ulitaka azikwe vipi?
Maana hata kama ni Dini, bado ingemtenga na Dini nyingine. Hivi askari anapofariki binafsi ungependa azikwe vipi? Maana kwa hoja zote ulizojenga hapo juu inamaana hata maziko ya askari wetu tunakua tunakosea.

Leo unataka tuige mfumo wa maziko huko nje, hivi ni kwa nini wao wanakua wanatoa mwaliko kwa baadhi ya watu flani ndio wahudhurie maziko ya marehemu, na si jamii au ndugu na jamaa wote wa marehemu, kama tufanyavyo huku?
Shukuru Mungu umezaliwa Tanzania. Otherwise kama imekuumiza sana, funga vilivyo vyako hama nchi, ukahudhurie maziko ya marehemu wa huko "nje" ulipopendezwa napo.

Kwa Africa, hasa Tanzania ni Dini na Siasa mbali ya Harusi na Misiba ndio matukio yanayowakutanisha watu na jamii mbali mbali na kujikuta watu wamefahamiana na kua jamii moja.
 
Back
Top Bottom