Safari ya mwisho ya Yusuf Asukile Seleman

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Safari ya maisha ya kamanda YUSUF ASUKILE SELEMAN ilifikia tamati jana jumamosi tarehe 27/8/2016. Alizikwa jimboni kwake Rungwe kata ya kinyala.
Yusuf Asukile alikuwa mgombea wa CHADEMA JIMBO LA RUNGWE 2010.. NA MWAKA 2015 ALIJITOKEZA KUGOMBEA BILA MAFANIKIO. AMEFARIKI AKIWA NI MTUNZA HAZINA WA CHAMA KANDA YA NYASA..

IMG-20160827-WA0109.jpg
IMG-20160827-WA0123.jpg
IMG-20160827-WA0114.jpg
IMG-20160827-WA0099.jpg
IMG-20160827-WA0113.jpg
IMG-20160827-WA0130.jpg
 
Apumzike kwa amani na Mungu awajalie ndugu na jamaa moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Amina.
 
img-20160827-wa0130-jpg.388948

Sidhani kama ni sawa kuzikwa ki CHADEMA-CHADEMA.

Ukienda kwenye nchi ambazo tumeiga haya mambo ya vyama vingi haya kwa mfano Marekani, kwa nini huwezi kukuta msiba wa Republicans??? Unadhani wafu wao hawana vyama? Nimeishi nje miaka mingi sana lakini gwanda rasmi la Democrats silijui wala bendera ya Republicans siijui inafananaje, Taifa lao lina bendera moja tu, red, white and blue.

Waafrika ni wepesi wa kugawanywa na mambo ambayo kwanza tumeiga, siyo ya kwetu, pili wao wenyewe huko kwao hawayavalii njuga; dini zao zinatugawa, demokrasia za vyama vingi zinatugawa.

Ukija kwenye makundi yetu ya asili kama makabila unakuta mara nyingi hayatugawi, ni upinzani wa watani kwa watani tena wa upendo na mzaha na uko very mild, hakuna msiba wa Mchaga ambae anazikwa na mabendera ya Kichaga! Rafiki za marehemu ambao ni Wahehe wangejisikiaje kwenye hayo mazishi?

What if, I don't know, but let's say mwanae mmoja au mke wa huyu Marehemu ni C.C.M. damu, kwa nini mumkalie kooni amzike mumewe ki-Chadema Chadema? We are looking at everything through the prism of politics and everything political, resulting in massive problems for ourselves.
 
Safari ya maisha ya kamanda YUSUF ASUKILE SELEMAN ilifikia tamati jana jumamosi tarehe 27/8/2016. Alizikwa jimboni kwake Rungwe kata ya kinyala.
Yusuf Asukile alikuwa mgombea wa CHADEMA JIMBO LA RUNGWE 2010.. NA MWAKA 2015 ALIJITOKEZA KUGOMBEA BILA MAFANIKIO. AMEFARIKI AKIWA NI MTUNZA HAZINA WA CHAMA KANDA YA NYASA..

View attachment 388928 View attachment 388929 View attachment 388945 View attachment 388946 View attachment 388947 View attachment 388948
Poleni sana wana mbeya
 
Pole sana wafiwa,RIP brother.
Hivi yule mtu wa tehama wa huko mbeya Mdude Nyangali anaendeleaje?maana inasadikika alivunjwa miguu na police huko mbozi.
 
R.I.p
Mungu amjaalie raha ya milele. Pole kwa familia Yake na wanachadema wote
 
RIP Yusuph....marehemu kama vile alisoma Tosamaganga?.....2004 kama,sijakosea!
 
img-20160827-wa0130-jpg.388948

Sidhani kama ni sawa kuzikwa ki CHADEMA-CHADEMA.

Ukienda kwenye nchi ambazo tumeiga haya mambo ya vyama vingi haya kwa mfano Marekani, kwa nini huwezi kukuta msiba wa Republicans??? Unadhani wafu wao hawana vyama? Nimeishi nje miaka mingi sana lakini gwanda rasmi la Democrats silijui wala bendera ya Republicans siijui inafananaje, Taifa lao lina bendera moja tu, red, white and blue.

Waafrika ni wepesi wa kugawanywa na mambo ambayo kwanza tumeiga, siyo ya kwetu, pili wao wenyewe huko kwao hawayavalii njuga; dini zao zinatugawa, demokrasia za vyama vingi zinatugawa.

Ukija kwenye makundi yetu ya asili kama makabila unakuta mara nyingi hayatugawi, ni upinzani wa watani kwa watani tena wa upendo na mzaha na uko very mild, hakuna msiba wa Mchaga ambae anazikwa na mabendera ya Kichaga! Rafiki za marehemu ambao ni Wahehe wangejisikiaje kwenye hayo mazishi?

What if, I don't know, but let's say mtoto mmoja au mke wa huyu Marehemu ni C.C.M damu, kwa nini mumkalie kooni amzike mumewe ki-Chadema Chadema? We are looking at everything through the prism of politics and everything political, resulting in massive problems for ourselves.
Tunawahitaji watu wenye mtazamo km huu
 
Back
Top Bottom