Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,519
- 652
Mwezi wa nne,Nasikia yupo mjenzi wa barabara anasaidia kukwamua mkikwama; bado sielewi masika huko kusini inaishia mwezi gani
Mwezi wa nne,Nasikia yupo mjenzi wa barabara anasaidia kukwamua mkikwama; bado sielewi masika huko kusini inaishia mwezi gani
Ndugu mpaka mje mvutwe ni masaa zaid ya matatu we jitose tuNasikia yupo mjenzi wa barabara anasaidia kukwamua mkikwama; bado sielewi masika huko kusini inaishia mwezi gani
kuna Hapa mgeni fala lodge na Mgen njoo wenyeji wapone Lodge. krb xna zambiaNaomba majina yake mkuu kama nyumba mbili au tatu zenye viwango vizuri
Songea zipo nyumba salama za kulala wageni? Hotel & Lodge
Duniani.dah. sio aijaunganishwa kimkoa.yani hapo nakumbuka movie flani inaiwa WRONG TURN.. Ni hatari kwa matumizi ya binadamuUlizia kama Tunduru mvua inanyesha kama inanyesha Pitia Dar- Songea,hiyo Barabara ya Tunduru -Songea ni moja kati ya Barabara mbovu kuwepo hapa duniani.
Mvua zimeisha mkuu, njia inapitika vizuri jadi Songea. Guest zipo nzuri mno na kwa bei rahisi mfano Ugabe, heritage cottage, top one inn, ziwani nk. Karibu mkuu ILA Kuna ki baridi Fulani hivi kimeanza. Ni vizuri uje na jacket au mkoti
Ni kijiji cha Mchomoro.....(hadi Songea)Asante Sizinga.
Kipindi hiki bado mvua zinanyesha huko kusini?
Mchomoro hafi ni kijiji mkuu?
Akitaka uhalisia akupm? duh!Naona wadau wanakupa maoni kirahisi sana,nimepita mara mbili mwez uliopita hali ni mbaya mvua ikinyesha,ukitaka uhalisia niPM namba yako ila usisahau mkate,maji na juis pia uvae sendo au mabuti kwan kuna kusukuma gari in case mvua ikinyesha
Yes nimpe uhalisiaAkitaka uhalisia akupm? duh!