Safari ya Mtwara hadi Songea

Safari ya Mtwara hadi Songea

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa barabara ya Tunduru - Songea ni mojawapo ya barabara iliyopata ufadhili wa kujengwa kwa kiwango cha lami na serikali ya Marekani kupitia mfuko wa MCC; ni kitu gani tena kilichelewesha ujenzi?
Uzembe wa mkandarasi pamoja na viongozi,tangu lini wahindi wakawa wakandarasi
 
Mkuu kuwa naamani barabara kwa sasa inapitika shwari kabisa, hapo masasi panda basi la Raha Safari au Gulila online Tunduru utaingia sa nne, asubuh then toka mjini hadi Majala ni Lami mzee almost 30 km, hapo utakanyaga vumbi kuanzia mtangashari, ligunga, matemanga, kiuma, Namwinyu, then utakanyaga lami tena hadi Uria, almost 20 km, then utapita kwenye vumbi hadi kilimasera, hapo sasa ni lami tupu hadi songea mjini km 125 safari njema mzee, kuanzia saa 8 utakuwa umefika
 
Barabara ilisha isha muda mrefu na kwa sasa kuna basi za kutosha dar - masasi-songea, songea - Lindi, songea- mtwara kusini kuchere
Aisee...kwahyo hakuna haja ya kuzunguka Morogoro
 
Back
Top Bottom