Safari ya Moteswa: Kutoka Kwenye Ndoa Hadi Kuwa Madada poa

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi change Moteswa kisha nikarudi naye mjini.

Nilivyorudi mjini washkaji zangu walivyoona nimeoa walinisema sana ila sikujali, jamaa mmoja aliniambia “Kuoa kabla ya miaka 30 ni sawa na kuondoka kwenye sherehe wakati wa kula. Siku zilizidi kusonga na penzi langu na Moteswa likazidi kukolea, hata majirani walimpenda sana na kumsifia kwasababu ya upole wake.

Changamoto kubwa ya Moteswa alikuwa mshamba sana, mfano akifanya usafi aliosha hadi TV, ilifika hatua akawa anaosha hadi ndizi, ila nilimvumilia kwasababu alikuwa hajazoea maana waswahili walishasema ukipenda boga, penda na ua lake.

Moteswa akaanza kuwa na marafiki maSlay queen wakamchanganya akili; “Mtoto mzuri kama wewe, una tako kubwa hivyo unakubalije kuolewa na maskini kama yule” mambo yakaanza kubadilika, wakawa wanamtorosha usiku wanaenda nae club wanavuta na kunywa mpaka asubuhi. Akapata mubaba, hatimaye Moteswa akatoweka nyumbani.

Nilijaribu kumtafuta kupitia simu ila hakupokea, iliniuma sana kumpoteza mwanamke ambaye nilimpenda kwa dhati. Nilimtafuta ili niweze kuhakikisha tu kama yupo hai, nilimkuta club akiwa kalewa chakari alinikana utafikiri hajawahi kuniona. Baadae sana nikaja kupewa story zake kwamba kila siku anabadilisha wanaume mara leo yuko na mzungu, kesho yupo na mchina, basi namimi sikuwa na haina, nikakubali yaishe nikaendelea na maisha yangu nikamuacha na yeye akiendelea na maisha yake.

Miezi kadhaa baadae Moteswa alipata mimba na aliyempa wala hakumtambua. Kila aliyemfuata alimkataa na kumfukuza. Moteswa hakuwa na msaada wowote akakosa mahali pa kulala, ikafika wakati akaanza hadi kulala kwenye stendi ya mabasi. Alirudi nyumbani kuniomba msamaha nilimkatalia na kumfukuza, sikutaka ujinga tena, sikuwa na msaada kabisa kwake.
 
Nilimkuta kasino la wadachi na walatino akigonga mvinyo wa Hashpagi hashipinyo taske asipinyo na pamba za maandalino macho yalinitoka mithiri ya zingodinyo.
 
Macho yalinitoka mithili ya simple pinyo...simple pinyo ni Simple X(ndugu yake na prof J,yule aliyemshirikisha kwenye ngoma ya piga makofi)
 
majinaaa yanaumbaaa sheheee
Shida
matatizo

mo-teswaaa

yaan huyu kuteswa kapitilizaa hahaha
 
Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi change Moteswa kisha nikarudi naye mjini.

Nilivyorudi mjini washkaji zangu walivyoona nimeoa walinisema sana ila sikujali, jamaa mmoja aliniambia “Kuoa kabla ya miaka 30 ni sawa na kuondoka kwenye sherehe wakati wa kula. Siku zilizidi kusonga na penzi langu na Moteswa likazidi kukolea, hata majirani walimpenda sana na kumsifia kwasababu ya upole wake.

Changamoto kubwa ya Moteswa alikuwa mshamba sana, mfano akifanya usafi aliosha hadi TV, ilifika hatua akawa anaosha hadi ndizi, ila nilimvumilia kwasababu alikuwa hajazoea maana waswahili walishasema ukipenda boga, penda na ua lake.

Moteswa akaanza kuwa na marafiki maSlay queen wakamchanganya akili; “Mtoto mzuri kama wewe, una tako kubwa hivyo unakubalije kuolewa na maskini kama yule” mambo yakaanza kubadilika, wakawa wanamtorosha usiku wanaenda nae club wanavuta na kunywa mpaka asubuhi. Akapata mubaba, hatimaye Moteswa akatoweka nyumbani.

Nilijaribu kumtafuta kupitia simu ila hakupokea, iliniuma sana kumpoteza mwanamke ambaye nilimpenda kwa dhati. Nilimtafuta ili niweze kuhakikisha tu kama yupo hai, nilimkuta club akiwa kalewa chakari alinikana utafikiri hajawahi kuniona. Baadae sana nikaja kupewa story zake kwamba kila siku anabadilisha wanaume mara leo yuko na mzungu, kesho yupo na mchina, basi namimi sikuwa na haina, nikakubali yaishe nikaendelea na maisha yangu nikamuacha na yeye akiendelea na maisha yake.

Miezi kadhaa baadae Moteswa alipata mimba na aliyempa wala hakumtambua. Kila aliyemfuata alimkataa na kumfukuza. Moteswa hakuwa na msaada wowote akakosa mahali pa kulala, ikafika wakati akaanza hadi kulala kwenye stendi ya mabasi. Alirudi nyumbani kuniomba msamaha nilimkatalia na kumfukuza, sikutaka ujinga tena, sikuwa na msaada kabisa kwake.
Nikusaidieje, prof. JAY
 
Back
Top Bottom