Safari ya matumaini ya Manchester United imefika ukingoni.

HahahH mleta mada ni kilaza wa kiwango cha koromije sijui umeificha sura yako wapi
 
IMG-20170525-WA0011.jpeg
 
safari ya matumaini ya timu mbovu ya man utd inafikia ukongoni leo kwani celta vigo watashinda 2-0 na kuiacha man u ikikosa nafasi ya kuingia fainali.

Jana imeshushwa hadi nafasi ya 6 baada ya arsenal kushinda na kupata pointi 3 muhimu.

Hivyo safari ya matumaini ya man utd kushiriki uefa inahitimishwa leo. Huu ni ukweli ambao ni mchungu.
mada
 
Hongera kwa utabiri mnono

unnamed.jpg
 
Nimeamua kufunga safari kwenda jijini Manchester kumuuliza Mourinho huu uchawi ametoa wapi..Timu imemaliza namba sita kwenye msimamo wa ligi, lakini ina vikombe vitatu, na inanyatia kingine dhidi ya wababe wa ulaya Juve/Madrid (UEFA SUPER CUP), first eleven yote ni majeruhi lakini vikombe kama kawa, timu inachukua vikombe na wachezaji kama akina lingard, rashford....ndani ya miezi minne timu imecheza meci 38, huku chelsea ikiwa imecheza mechi 17.....aiseee, cha ajabu imeingia kwenye group stage ya champions league...hii ni shortcut ya hatari sana...huku liverpool akibaki kucheza play off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom