Yote tisa,..kumi ni hayo majani alioshika..Tumbo la kuharisha ni noma
Lazima utajenga urafiki na choo
Duh jamaa yupo pekupeku
HahahahahaaaaMsukuma huyo
Upupu huoAnachambia majani!
majani au tuyaite paper toilet,maana sio ya kawaida.Yote tisa,..kumi ni hayo majani alioshika..