Safari ya kurudi kutoka university of HongKong

Ndugu wana jamvi amani iwe nanyi.
Ndugu zangu kesho nakwea pipa kurudi nyumbani Tanzânia kwa wiki mbili zumuni lá safári yangu nakuja kufungua kampuni.

Ndugu zangu mkumbuke Mimi nipo masomoni Hong Kong pia nafanya kazi za hapa na pale kujipatia liziki.
Ndugu zangu lengo lá uzi huu mniambie Kiwanja kikali jmosi nataka nipate mtoto wa chuo chochote hasa udsm(the home of intelectual)tutumie dolali nilizokuja nazo.

Ndugu zangu chonde chonde naombeni mnifahamishe Kiwanja kikali kikali ambacho watoto wa udsm watakuwepo natanguliza shukrani zangu za zati.
pumbavu!,
unawaza kustarehe na wanachuo tu ukifika bongo, hufikirii Mungu amekulinda umeishi nchi ya watu mbali na bara lako salama kuna wengine hufia huko ila we u salama, hata kusema ukifika ndugu wakupeleke kanisani/msikitini ukatoe sadaka ya shukrani we unawaza ujinga TU.
NARUDIA TENA pumbavu
 
Nyooo mm jikajua unataka kiwanja ujenge ukome kulala kwa ndugu zako bure kabisa. Akili za wabeba mabox fyatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom