kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?
Jamaa mkali
Masoud namkubali sana yuko wazi na wala hafichi fichi wala kuogopa impact ya kile atakachokiandika
Ili uwe mzalendo mtukane kikwete...... hiki ni kipimo kipya kabisa cha uzalendo kilichotolewa na maabara ya Froida. kwa mwendo huu uzalendo kwa nchi yetu utazidi kufa
Mkapa amehudhuria vikao vyote vya Davos alipokuwa madarakani. Kelele hizi hazikuwepo! Hadi akatibiwa huko kile/ule kiuno/mguu chake/wake kilichokuwa/uliokuwa kimetenguliwa/umetenguliwa na Mama nanihii.
We mama weee utakuja wehuka kwa kutetea mashetani. Hivi unapataga ngapi kwa kazi hiyo?
hivi akiwa Davos akiulizwa effects of poor human development kwenye uchumi in relation to the current situation hapa home anaweza kujibu nini?
Hivi kumbe bado alikuwa hajapiga picha na Bill Gates? :shock:Tumeambiwa jana kwamba ni muhimu kwake kuonana na Bill Gates..........hayo ya wagonjwa can wait.
Uchumi wa nchi ulikuwa mzuri wakati ule!Mkapa amehudhuria vikao vyote vya Davos alipokuwa madarakani. Kelele hizi hazikuwepo! Hadi akatibiwa huko kile/ule kiuno/mguu chake/wake kilichokuwa/uliokuwa kimetenguliwa/umetenguliwa na Mama nanihii.