Siku zote watu wanaona safari za JK hazina tija, hivi watanzania tunataka yote anayokwenda kuyafanya nje yawe yanatangazwa???? Huu ni utaratibu gani na tangu lini yaliwekwa wazi kwa awamu zote zilizopita?
Atalia bila kutoa suluhisho la tatizo. we humjui mizengwe nini?kwa hiyo unataka kusema Jk aache kusafiri kwa sababu tu madaktari wamegoma.....are you kidding? tupate hasara mara mbili kwani amekwenda kutembea au kwa faida ya nchi? wabunge nao wakigoma abaki Ikulu, waalimu na wengineo vivyo hivyo...hapana haikubaliki Rais ni taasisi ndio maana chini ya Rais kuwa viongozi rukuki wa kumsaidia. kwani wakikutana na Pinda kuna tatizo gani?
Upuuzi wa Masoud kipanya, angalia hiyo documentary ndo utamjua jamaa ni kichwa.
Kipanya yuko kazini kwenye biashara sio lazima kibwengo chake kiwakilishe hali halisi.
View attachment 46103 Nilipata hii picha kwa hisani ya mzee mzima Masoud Kipanya safari ya JK kwenda Davos, bado naendelea kufuatilia matukio picha zitawadia baadae.
We mama weee utakuja wehuka kwa kutetea mashetani. Hivi unapataga ngapi kwa kazi hiyo?
Amezikumbuka mbembea zake huko mamtoni!Mwacheni akabembee zake.
Nadhani Vyuo vyote vilivyompatia degree za heshima huu ndio wakati wa kutathimi kumnyanganya
'Kipanya' anawakilisha wakosoaji wa serikali ya Jk ambao wanaamini katika maneno ya Dr Slaa kwamba angepata Urais asingesafiri angebaki pale magogono Ikulu na kula mihogo.