Mungu atuepushie mbali kwa hilo na awape pia roho ya uvumilivu wenye kutaabika na haya mambo wakose kulipizana kisasi ili siku moja vizazi vyao vionje radha ya amani na upendo
Tunahitajika kufanya maamuzi magumu lakini ya busara ni wakati sasa wa kuupumzisha utawala uliopo umefanya mazuri lakini pia na mabaya yapo tena mengi tu
Tumeteleza lakini hatujaanguka tunahitaji kusimama na kusonga mbele sasa! Hakuna muda wa kusubiri tena, wakati uliokubalika ni sasa TUNAHITAJI MABADILIKO kwenye kila kitu mabadiliko yenye tija kwa Taifa na mwananchi mmoja mmoja. Rasilimali tunazo tunasubiri nini??? Ni lazima iwe sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.