mwacheni77
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 763
- 210
Hiv mtori unanywewa au unaliwa?
Chama cha Magamba kina protokali yake ya kupeana urais kwa zamu, na 2015 likely atatokea Pemba kama sio Unguja. Sasa kama mnataka mchaga manake itabidi mhakikishe Chadema inashinda haya kazi kwenu, mradi tu msituletee vita ktk jamhuri yetu tukufu.

Salama Mpemba?,
Naona unajipigia chapuo hapo hahaaaaaaaaaaa....
Btw,CHADEMA si wanaweza kumsimamisha Wilbroad Peter Slaa,PHD?...Sidhani kama Slaa ni mchaga....
Itabidi na sie Wasukuma urais uwe zamu yetu safari hii aisee
AMbao ni akina nani?watanzania wote mmepewa baraka ya watu fulani wenye uwezo wa kufikiria mbali,kwa nini msiwatumie kurekebisha taifa lenu?
nafikiri kama tunataka mtu wa kututoa hapa tulipo hakuna jinsi tuwape hao jamaa wenye akili kuliko woteeeeeeeeeeeee
You have disappoint a lot of people with your thread. When we the people of the land need to think hard on how we can get out of all sorts of misery you are thinking like you have missed mtori...I suggest you take Mbege you will think differently......