Safari hii tutawaliwe na Mreno

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,904
7,817
Kama kutawaliwa upya hakupingiki basi safari hii tujaribu mreno tunaweza kupata ujasiri na uelewa wa demokras kuliko mwingereza na mjerumani. Mambo ya Uganda Zanzibar Meya wa Dsm,Tanga ,Kino,Ilala Mvomero ni utayari na mahitaji ya recolonisation.
 
Hilo ndiyo tatizo la kutokujua historia nenda kasome upya vitabu vya historia..Alitawala Zanzibar na ukanda mzima wa pwani ya E.africa kutoka Mombasa mpaka kilwa kwa Zaidi ya miaka 200.. Soma kwanza halafu rudi
 
Kasome tena uweze kufahamu ukoloni na aina nyingine za dominance . Ukiweza kuthibitisha ukoloni wa wareno Tanganyika najitoa jf
 
Kilwa ilikuwa sehemu ya nchi gani?Kwanza nataka unamaanisha nini unaposema Tanganyika?hivi unajua ya kuwa before Heligoland–Zanzibar Treaty hakuna kitu kinachitwa Tanganyika? na hivi unajua coastal strip ya so called Tanganyika ilikuwa chini ya Sultan of Zanzibar na hilo eneo lilikuwa linatawaliwa na mreno kabla ya kufukuzwa na wa Oman Na ilikuwa ikiitwa Portuguese east Africa.
Portuguese East Africa was located in south-eastern Africa. It was a long coastal strip with Portuguese strongholds, from current day Tanzania and Kenya, to the south of current-day Mozambique.
Portuguese Mozambique - Wikipedia, the free encyclopedia( Soma hapo kwenye kipengele cha Geography)
Kwa hivyo kijana part ya ilikuwa Tanganyika imewahi kuwa chini ya utawala wa mreno.
 
bas ajitoe
 
Kama kutawaliwa upya hakupingiki basi safari hii tujaribu mreno tunaweza kupata ujasiri na uelewa wa demokras kuliko mwingereza na mjerumani. Mambo ya Uganda Zanzibar Meya wa Dsm,Tanga ,Kino,Ilala Mvomero ni utayari na mahitaji ya recolonisation.
Vijana wa ukawa kwa kuchanyikiwa huku siku si nyingi mtakuwa kama mashabiki wa Mrema...kwasasa wamerudi CCM.
 
Back
Top Bottom