Mambo ni mengiDaaah
Mambo ni mengiDaaah
Kashepa?Hahahaha Nyumba wamepigwa za chembe tena, nyoko kweli hawa wapuuzi
Hakuna updates badoKashepa?
Everysing..........Punguzeni kumshabikia kubenea na kulikebei gazeti la mwananchi.
Kifupi ni kwamba kubenea ataondoka chadema kwa stairi ya÷
1.meya wa kinondoni
2.meya wa Iringa
3.meya wa mbeya
4.mh.kom na baadae 30
Kiujumla chadema hakuko shwali! Wanao kipigania chama kwa sasa niwanufaika wa rudhuku tu.
Nipeni taarifa za mgogoro wa j. mrema na nyarandu ulipofikia kiasi cha mrema kususa mpaka sasa.
Nyarandu anasema pesa ni nyingi zilizochangwa kuliko zilizowasilishwa.
Mwananchi cku zte inawabeba wapinzani hakuna acyejua hilo, hivyo taarifa za kubenea kuunga juhudi mwananchi inazifuatiria kwa ukaribu sn! Na akiulizwa kube kuhusu viashiria hivyo! Na anapokutana na wanasisiyem kwenye kambi moja iliyopo ubungo kibangu yy hatoi ushirikiano ! Ndo maana mwananchi wameamua kuandika ili wapate kauri yke. Na very soon wataanika everysing.
Ndugu jifunze kuandika vizuri. Nini maana ya everysing, rudhuku,cku zte, sn, stairi, acyejua, kauri, inazifuatiria,yy.?Punguzeni kumshabikia kubenea na kulikebei gazeti la mwananchi.
Kifupi ni kwamba kubenea ataondoka chadema kwa stairi ya÷
1.meya wa kinondoni
2.meya wa Iringa
3.meya wa mbeya
4.mh.kom na baadae 30
Kiujumla chadema hakuko shwali! Wanao kipigania chama kwa sasa niwanufaika wa rudhuku tu.
Nipeni taarifa za mgogoro wa j. mrema na nyarandu ulipofikia kiasi cha mrema kususa mpaka sasa.
Nyarandu anasema pesa ni nyingi zilizochangwa kuliko zilizowasilishwa.
Mwananchi cku zte inawabeba wapinzani hakuna acyejua hilo, hivyo taarifa za kubenea kuunga juhudi mwananchi inazifuatiria kwa ukaribu sn! Na akiulizwa kube kuhusu viashiria hivyo! Na anapokutana na wanasisiyem kwenye kambi moja iliyopo ubungo kibangu yy hatoi ushirikiano ! Ndo maana mwananchi wameamua kuandika ili wapate kauri yke. Na very soon wataanika everysing.
Uliona wapi MTU akaacha maslai hasa mswahili?Siasa hizi ni hatari yaani mtu akihama chama fulani kwenda chama fulani anakuwa amenunuliwa, ila akihama tena hivyo hivyo anakuwa amefanya mambo sahihi
Wasukuma buanaPunguzeni kumshabikia kubenea na kulikebei gazeti la mwananchi.
Kifupi ni kwamba kubenea ataondoka chadema kwa stairi ya÷
1.meya wa kinondoni
2.meya wa Iringa
3.meya wa mbeya
4.mh.kom na baadae 30
Kiujumla chadema hakuko shwali! Wanao kipigania chama kwa sasa niwanufaika wa rudhuku tu.
Nipeni taarifa za mgogoro wa j. mrema na nyarandu ulipofikia kiasi cha mrema kususa mpaka sasa.
Nyarandu anasema pesa ni nyingi zilizochangwa kuliko zilizowasilishwa.
Mwananchi cku zte inawabeba wapinzani hakuna acyejua hilo, hivyo taarifa za kubenea kuunga juhudi mwananchi inazifuatiria kwa ukaribu sn! Na akiulizwa kube kuhusu viashiria hivyo! Na anapokutana na wanasisiyem kwenye kambi moja iliyopo ubungo kibangu yy hatoi ushirikiano ! Ndo maana mwananchi wameamua kuandika ili wapate kauri yke. Na very soon wataanika everysing.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu jifunze kuandika vizuri. Nini maana ya everysing, rudhuku,cku zte, sn, stairi, acyejua, kauri, inazifuatiria,yy.?
Ole Nsukuma wa mahe ukamanile ukoandika kesoga.!
Duh...!Wasukuma buana
Mzee mwenzangu vipi? Wasukuma ni Wakwe zanguDuh...!
P
Utapata raha sana. Wasukuma hawasumbui.Mzee mwenzangu vipi? Wasukuma ni Wakwe zangu
Subutuuuu! Kule Uzaramoni kwetu tunasema."zilongwa mbali zitendwa mbali"Utapata raha sana. Wasukuma hawasumbui.
P
Zito alifukuzwa CHADEMA hakusepa.hata zito alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema ila alisepa,sasa hata mm namuomba achukue hatua
Sent using Jamii Forums mobile app