Saed Kubenea: Sina mpango wa kuondoka CHADEMA

*Taarifa kwa umma*

NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Napenda kueleza masikitiko yangu kuona gazeti lililokuwa linaheshimika katika jamii, linajiingiza katika kuandika habari ambazo chanzo chake ni mitandao ya kijamii ya Whats App na Jamii Forum na zinazosambazwa na watu wenye nia ovu dhidi yangu.

Narejea tena na tena, kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema. Sijawahi kuzungumza na mtu yoyote yule wa CCM kuwa nataka kujiunga na chama chao.

Hii ni kwa sababu, mpaka sasa, mimi binafsi, sijaona sababu zinazojitosheleza kunishawishi kuondoka Chadema na kujiunga na chama kingine.

Ninafahamu wazi kuwa wapo watu ndani ya Chadema wanaotaka nikihame chama changu, ili kukidhi maslahi yao binafsi.

Napenda kuwahakikishia kuwa siondoki na hakuna wa kuniondoa.

Wanaodhani kuwa mimi kuwamo kwangu huku ni kero kwao, basi nawaomba waondoke wao.

Watuachie sisi chama tutakaosalia. Tunaahidi tutakijenga, kikiimarisha na kukiendeleza hadi kuelekea kushika dola.

Nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Chadena na nitaendelea kuwatumikia wananchi wangu wa Ubungo, hadi nimalize kipindi changu cha Ubunge.

Kuhusu gazeti la MWANANCHI, naomba kulishauri mambo mawili makuu:

Liache kuandika habari za kuokoteza juu yangu zinazohusu madai ya kuhama chama.

Litumie muda huu, kufanya uchunguzi yakinifu wa wapi alikofichwa; na au nani waliomteka na kumshikilia mwandishi wao wa habari mahiri za uchunguzi aliyetoweka takribani miezi mitano iliyopita, huko Kibiti, mkoani Pwani.

Hiyo ndio kazi ya kitume ambayo gazeti kama MWANANCHI linapaswa kuifanya.

*Saed Kubenea, mbunge wa Ubungo.*
 
Kama haya ni maneno yake basi safari imeiva na haina siku nyingi! Imenikumbusha maneno ya ENL kwamba ambaye hanitaki CCM yeye ndiye aondoke, mwisho wa siku akaondoka yeye!!! Kubenea yupo safarini.
 
Tumefanana tafakuri katika hili. Tusubiri tuone.
 
Kweli mambo hubadirika! Yani leo hii chadema ndio wanatiwa jambajamba na ccm kiasi hiki?
Habari kama hizi ilitakiwa tuwe tinaona zinasomeka hivi katika magazeti: "WABUNGE 10 WA CCM KITIMKIA UPINZANI MUDA WOWOTE"

Badala yake ni kinyume chake!
The world is cycle "
 
Kubenea anajilazimisha tu kuwa CHADEMA

Screenshot_20181009-163507.png
 
Kama haya ni maneno yake basi safari imeiva na haina siku nyingi! Imenikumbusha maneno ya ENL kwamba ambaye hanitaki CCM yeye ndiye aondoke, mwisho wa siku akaondoka yeye!!! Kubenea yupo safarini.
Halafu Kubenea ni muumini mkubwa wa Edo japo ndiye alikuwa adui yake mkubwa kabla hajahama CCM
 
Hizi kauli tulisha zisikia wakati wa lowasa sasa unarudia tu [emoji116]

*siondoki na hakuna wa kuniondoa.)
Wanaodhani kuwa mimi kuwamo kwangu huku ni kero kwao, basi nawaomba waondoke wao.
 
KWA HIYO HEADING HAPO JUU HUYU TAYARI ASHANUNULIWA ASEEE,BADO KUTANGAZA WAZI
Sijui hawa jamaa wanavutwa na ulimbo wa aina gani
 
Halafu Kubenea ni muumini mkubwa wa Edo japo ndiye alikuwa adui yake mkubwa kabla hajahama CCM
Kwani huyo Lowassa mwenyewe si tayari ameishakatwa mkia anasubiri kidonda kipone arudi zizini!
 
we kubenea wewe utachelewa mwisho december we kalia kukausha tu muda unaenda baada ya hapo tukutane 2020 ambapo hutapata hatakula moja yaani utapata sufuri yaani 0 ndiyo akili itakukaa sawa wahi mapema kama wenzio shauri yako
Ushuzi mtupu ...kwani alizaliwa na ubunge mburura wewe?
 
Taarifa kwa umma

NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Napenda kueleza masikitiko yangu kuona gazeti lililokuwa linaheshimika katika jamii, linajiingiza katika kuandika habari ambazo chanzo chake ni mitandao ya kijamii ya Whats App na Jamii Forum na zinazosambazwa na watu wenye nia ovu dhidi yangu.

Narejea tena na tena, kwamba sina mpango wa kuondoka Chadema. Sijawahi kuzungumza na mtu yoyote yule wa CCM kuwa nataka kujiunga na chama chao.

Hii ni kwa sababu, mpaka sasa, mimi binafsi, sijaona sababu zinazojitosheleza kunishawishi kuondoka Chadema na kujiunga na chama kingine.

Ninafahamu wazi kuwa wapo watu ndani ya Chadema wanaotaka nikihame chama changu, ili kukidhi maslahi yao binafsi.

Napenda kuwahakikishia kuwa siondoki na hakuna wa kuniondoa.

Wanaodhani kuwa mimi kuwamo kwangu huku ni kero kwao, basi nawaomba waondoke wao.

Watuachie sisi chama tutakaosalia. Tunaahidi tutakijenga, kikiimarisha na kukiendeleza hadi kuelekea kushika dola.

Nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa Chadena na nitaendelea kuwatumikia wananchi wangu wa Ubungo, hadi nimalize kipindi changu cha Ubunge.

Kuhusu gazeti la MWANANCHI, naomba kulishauri mambo mawili makuu:

Liache kuandika habari za kuokoteza juu yangu zinazohusu madai ya kuhama chama.

Litumie muda huu, kufanya uchunguzi yakinifu wa wapi alikofichwa; na au nani waliomteka na kumshikilia mwandishi wao wa habari mahiri za uchunguzi aliyetoweka takribani miezi mitano iliyopita, huko Kibiti, mkoani Pwani.

Hiyo ndio kazi ya kitume ambayo gazeti kama MWANANCHI linapaswa kuifanya.

Saed Kubenea, mbunge wa Ubungo.
Hahahaha Nyumba wamepigwa za chembe tena, nyoko kweli hawa wapuuzi
 
Back
Top Bottom