Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

Tetesi: Saed Kubenea kurudi Chadema

Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama

Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!

Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama

Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia
 
Wataendaa watarudiiii...
FB_IMG_1746896091403.jpg
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Atakuwa amechanganyikiwa kama kweli atarudi kwenye nyoo lifomu
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Kwani lini aliondoka CDM?, Na kama aliondoka alienda wapi.
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Ina maana hapo awali aliondoka sababu ya Ile team ilijiondoa CDM pamoja na uongozi uliopita?

Tindo zitto junior
 
Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama

Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!

Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama

Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia
Ushauri mujarabu sana huu. Wakifika watulie na sio kukimbilia kupata vyeo. Wawe chini ya uangalizi maalum kujua nyendo zao, na kama ni kukijenga chama mchango wao ueleweke. Cdm imeshaumizwa sana na hawa vigeugeu.
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Mgeni rasmi ni mbowe
 
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.

Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
kubenea ni spent force, hana mvuto wowote...
 
Chadema kiwe makini na mamluki wa CCM watakao letwa kuhujumu mabadiliko na kuanza kukipasua chama

Ikiwezekana Lissu akitoka aunde kamati ya watu very potential na waadilifu tofauti na kamati kuu kwa ajili ya kutunza Siri za chama!!

Hakuna haja ya kila mtu kuwa na access ya kila Jambo linaloendelea ndani ya chama

Hatutaki mambo ya kina Lowassa,Sumaye na Nyarandu kujirudia
Lisu Yuko wazi sana.Misimamo yake na malengo yake ni kinyume kabisa na Mbowe .Kiongozi yoyote mwenye uchungu na nchi lakini si Neutral,akaribishwe kufufua matumaini kwa waTanzania
 
Amewahi kuweka uwazi gani kuhusu familia yake iliyopo ulaya na mipango waliyonayo na watu wa ulaya?!!!! Kama hajawahi basi nyumbu kaa kimya.
 
Back
Top Bottom