Sadness causes more road accidents than tiredness

Rofa

Member
Sep 19, 2015
79
126
Kuendesha gari ukiwa na uzuni yamkini ya kupata ajali ni kubwa sana kuliko uchovu.utafiti uliokutolewa na wataalamu unadai ajari za barabarani asilimia kubwa zinasababishwa na vitu viwili uzuni na uchovu.Hivi ukipigwa faini na police mara nne kwa siku si utapata uzuni ,kwahiyo yamkini ya kupata ajali ni kubwa .ukishika break kila dakika kupata 50 si utachoka sana nacho ni chanzo kingine cha ajali.
Sijui kama wenzangu mnayaelewa haya?
 
umaskini ndio chanzo kikuu cha ajali barabarani ndio uleta hayo yote uchovu na huzuni.
 
Kuendesha gari ukiwa na uzuni yamkini ya kupata ajali ni kubwa sana kuliko uchovu.utafiti uliokutolewa na wataalamu unadai ajari za barabarani asilimia kubwa zinasababishwa na vitu viwili uzuni na uchovu.Hivi ukipigwa faini na police mara nne kwa siku si utapata uzuni ,kwahiyo yamkini ya kupata ajali ni kubwa .ukishika break kila dakika kupata 50 si utachoka sana nacho ni chanzo kingine cha ajali.
Sijui kama wenzangu mnayaelewa haya?
Badala ya huzuni kwanini usitumie msongo wa mawazo Mimi sijui kiswahili fasaha najaribu kuwaza tu!
 
Hizi 50 za kila hatua mbili....ikichanganywa na tochi...

Ni mwendo wa huzuni tu
 
hapo kuna kiswahili " kushika breki"
sina hakika kama breki za gari zinatumika kwa KUSHIKWA
Sasa hii nayo nini?ndiyo maana sikipendi kiswahili maana ujanja ujanja mwingi hata hauna maana!Ndiyo maana yametokea maneno kama makalio,badala ya mat.ko,vitafunwa badala ya vitafunio,makanyagio badala ya miguu au nyayo,maoneo badala ya macho nk huu ni ujinga tu!Lugha ipo kwa ajili ya mawasiliano na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom