Hemed Mzee Hemed
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 186
- 41
Nimeona wabunge wengi, lakini huyu kiboko!... Nmeona wanasiasa wa aina mbali mbali, lakini kwa huyu hata kibajaji "Lusinde" cha mtoto!..
huyu jamaa anajua matusi, siyo siasa!..
"siamini kuwa zanzibar kuna watu wa aina hii!
leo amefanya mkutano katika kata ya magomeni eneo la shule ya msingi majengo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa udiwani iliyoachwa wazi baada ya mumewe Khadija Kopa kufariki dunia. uchaguzi huo utafanyika february 9, 2014...
Amefanya mkutano wa hadhara na kufanya vioja vya kutisha.
1. Lema 'si ridhiki" - ................... (maneno mengine hayaandikiki)
2. vyama vilivyoungana kudai katiba na kukutana na mwenyekiti wetu ikulu, "ni vya watu ambao si ridhiki" (maneno halisi siyaweki).
3. Zanzibar hakuna ushoga
4. ccm chama cha amani, wapinzani wataleta vita;
5. vyama vya upinzani ni vya kikabila na kidini.
6. vyama vya upinzani "hasa CUF na CHADEMA ruzuku wanafanyia ufuska" wakati CCM inajengea zahanati.
7. Ukiwa na mkeo au mumeo kwenye tendo la ndoa na bomu likalipuka "mtaendelea au utach.....oa"
8. Ukiwa sehemu unatongoza ukasikia bomu jirani utaendelea au hapana - basi hawa jamaa wanaleta vita.
Ndugu zangu kwa haya na mengine mengi taifa letu likiendelea hivi na kuwalea watu hawa, machafuko yako njiani.
NB: iwapo atalalamika nitatoa namba zangu za simu hadharani na kutoa ushahidi, zaidi ya yote natumia jina langu halisi.
Member picture