Sadifa Juma Khamis, amvaa, Lema, CHADEMA na CUF - Bagamoyo


Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
750
Likes
2
Points
0
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
750 2 0
Nimeona wabunge wengi, lakini huyu kiboko!... Nmeona wanasiasa wa aina mbali mbali, lakini kwa huyu hata kibajaji "Lusinde" cha mtoto!..
huyu jamaa anajua matusi, siyo siasa!..
"siamini kuwa zanzibar kuna watu wa aina hii!
leo amefanya mkutano katika kata ya magomeni eneo la shule ya msingi majengo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa udiwani iliyoachwa wazi baada ya mumewe Khadija Kopa kufariki dunia. uchaguzi huo utafanyika february 9, 2014...

Amefanya mkutano wa hadhara na kufanya vioja vya kutisha.
1. Lema 'si ridhiki" - ................... (maneno mengine hayaandikiki)
2. vyama vilivyoungana kudai katiba na kukutana na mwenyekiti wetu ikulu, "ni vya watu ambao si ridhiki" (maneno halisi siyaweki).
3. Zanzibar hakuna ushoga
4. ccm chama cha amani, wapinzani wataleta vita;
5. vyama vya upinzani ni vya kikabila na kidini.
6. vyama vya upinzani "hasa CUF na CHADEMA ruzuku wanafanyia ufuska" wakati CCM inajengea zahanati.
7. Ukiwa na mkeo au mumeo kwenye tendo la ndoa na bomu likalipuka "mtaendelea au utach.....oa"
8. Ukiwa sehemu unatongoza ukasikia bomu jirani utaendelea au hapana - basi hawa jamaa wanaleta vita.

Ndugu zangu kwa haya na mengine mengi taifa letu likiendelea hivi na kuwalea watu hawa, machafuko yako njiani.

NB: iwapo atalalamika nitatoa namba zangu za simu hadharani na kutoa ushahidi, zaidi ya yote natumia jina langu halisi.
Member picture
Hii ndio taabu ya kuwa na elimu ya kuunga na kuvamia siasa wasio ikiwa. Alisema CUF ikifanya mkutano wa Hadhara Donge basi apelekwe. Sasa suali mbona Kimya wakati mkutano wa CUF umefanyika au ndio kishapata mume wa kumuowa ndio kawa Kimya?.
 
T

tenende

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
6,559
Likes
10
Points
135
T

tenende

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
6,559 10 135
Duuh! kama ni kweli, basi Tanzania ipo mahututi.. Haina viongozi kabisa..
Ila mi nliwahi sikia huyu jamaa ni "tembele"
Mkuu tembele ni nini? Hata mchezaji mmoja wa Yanga aliitwa hivyo!.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
CCM huwa hawajisikii aibu kwa niaba yake
 
T

timbilimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
4,808
Likes
175
Points
160
T

timbilimu

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
4,808 175 160
Duuh! kama ni kweli, basi Tanzania ipo mahututi.. Haina viongozi kabisa..
Ila mi nliwahi sikia huyu jamaa ni "tembele"
Tanzania haiko hivyo,huyu ni mtu wa UVCCM,wakahangaike na zigo lao la mavi. Kama umdadisi kidogo kwa kuangalia sura ya mtu bila shaka utajua kwamba jamaa ana matatizo ya afya ya akili. Jamaa wanaongozwa na mwehu! Na bahati mbaya wameuchuna kama kwamba jamaa ni mzima.
 
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
1,073
Likes
10
Points
135
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
1,073 10 135
Daah huyu jamaa kasoma kweli kweli hadi kampita Nape Moses Nnauye na yule mwanzao Professor Maji Marefu CCM kuna wasomi bana
 

Forum statistics

Threads 1,272,906
Members 490,197
Posts 30,464,049