Sadifa Juma Khamis, amvaa, Lema, CHADEMA na CUF - Bagamoyo

Hemed Mzee Hemed

Senior Member
Jun 26, 2013
186
41
Nimeona wabunge wengi, lakini huyu kiboko!... Nmeona wanasiasa wa aina mbali mbali, lakini kwa huyu hata kibajaji "Lusinde" cha mtoto!..
huyu jamaa anajua matusi, siyo siasa!..
"siamini kuwa zanzibar kuna watu wa aina hii!
leo amefanya mkutano katika kata ya magomeni eneo la shule ya msingi majengo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa udiwani iliyoachwa wazi baada ya mumewe Khadija Kopa kufariki dunia. uchaguzi huo utafanyika february 9, 2014...

Amefanya mkutano wa hadhara na kufanya vioja vya kutisha.
1. Lema 'si ridhiki" - ................... (maneno mengine hayaandikiki)
2. vyama vilivyoungana kudai katiba na kukutana na mwenyekiti wetu ikulu, "ni vya watu ambao si ridhiki" (maneno halisi siyaweki).
3. Zanzibar hakuna ushoga
4. ccm chama cha amani, wapinzani wataleta vita;
5. vyama vya upinzani ni vya kikabila na kidini.
6. vyama vya upinzani "hasa CUF na CHADEMA ruzuku wanafanyia ufuska" wakati CCM inajengea zahanati.
7. Ukiwa na mkeo au mumeo kwenye tendo la ndoa na bomu likalipuka "mtaendelea au utach.....oa"
8. Ukiwa sehemu unatongoza ukasikia bomu jirani utaendelea au hapana - basi hawa jamaa wanaleta vita.

Ndugu zangu kwa haya na mengine mengi taifa letu likiendelea hivi na kuwalea watu hawa, machafuko yako njiani.

NB: iwapo atalalamika nitatoa namba zangu za simu hadharani na kutoa ushahidi, zaidi ya yote natumia jina langu halisi.
Member picture
1724.jpg
1724.jpg
 
Tatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli mchungu wa yale mnayoyafanya gizani pindi yanapofahamika
 
achana na huyo kijana, kweli ana matusi sanaaaa kuna siku nilimsikia live mwenge-dar nilichefuka sana roho yangu, kwa ufupi sio mwanasiasa
 
Faida ya ayasemayo ataipata muda muafaka .Hutakiwi kumfuatia huyu kichaa .Ana laana moja hivi siku zijazo nitasema kwa leo naishia hapa .
 
achana na huyo kijana, kweli ana matusi sanaaaa kuna siku nilimsikia live mwenge-dar nilichefuka sana roho yangu, kwa ufupi sio mwanasiasa

Hakuna wazee wa kumfunda na kumwelekeza maneno ya kuongea hadharani?
 
Hii ni CV yake!

MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHonourable
First Name:Sadifa
Middle Name:Juma
Last Name:Khamis
Member Type:Constituency Member
Constituent:Donge
Political Party:CCM
Office Location:Donge, Zanzibar
Office Phone:+255 777 239823
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:skhamis@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth7 February 1982
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Zanzibar UniversityLLB--GRADUATE
Tanga Technical Secondary SchoolTechnical Course20052005CERTIFICATE
Zanzibar Democracy School, (REDET)Short Course2010CERTIFICATE
Donge Secondary SchoolO-Level Education19971998SECONDARY
Hamamni Secondary SchoolO-Level Education20002001SECONDARY
Shaurimoyo Primary SchoolPrimary Education19901995PRIMARY
Donge Primary SchoolPrimary Education19951996PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFromTo
The Parliament of TanzaniaMember - Donge Constituency20102015
Defence and National Service of TanzaniaPrivate20032006
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson -UVCCM Law Committee2009
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UVCCM2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember (Branch)2007
 
Hivi tulishafikia muafaka kama Zanzibar ni nchi au kamkoa? Matusi kwa Zenji yana mvuto sio bara. By the way Mke wake nae si aliandamana juzi kwa kunyang'anywa mume na mtanga.
 
kasoma secondary tatu na democracy school. Then Zanzibar university baada ya Tanga Technical Secondary School. Kama Nape ehe.
 
Nimeona wabunge wengi, lakini huyu kiboko!... Nmeona wanasiasa wa aina mbali mbali, lakini kwa huyu hata kibajaji "Lusinde" cha mtoto!..
huyu jamaa anajua matusi, siyo siasa!..
"siamini kuwa zanzibar kuna watu wa aina hii!
leo amefanya mkutano katika kata ya magomeni eneo la shule ya msingi majengo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi wa udiwani iliyoachwa wazi baada ya mumewe Khadija Kopa kufariki dunia. uchaguzi huo utafanyika february 9, 2014...

Amefanya mkutano wa hadhara na kufanya vioja vya kutisha.
1. Lema 'si ridhiki" - ................... (maneno mengine hayaandikiki)
2. vyama vilivyoungana kudai katiba na kukutana na mwenyekiti wetu ikulu, "ni vya watu ambao si ridhiki" (maneno halisi siyaweki).
3. Zanzibar hakuna ushoga
4. ccm chama cha amani, wapinzani wataleta vita;
5. vyama vya upinzani ni vya kikabila na kidini.
6. vyama vya upinzani "hasa CUF na CHADEMA ruzuku wanafanyia ufuska" wakati CCM inajengea zahanati.
7. Ukiwa na mkeo au mumeo kwenye tendo la ndoa na bomu likalipuka "mtaendelea au utach.....oa"
8. Ukiwa sehemu unatongoza ukasikia bomu jirani utaendelea au hapana - basi hawa jamaa wanaleta vita.

Ndugu zangu kwa haya na mengine mengi taifa letu likiendelea hivi na kuwalea watu hawa, machafuko yako njiani.

NB: iwapo atalalamika nitatoa namba zangu za simu hadharani na kutoa ushahidi, zaidi ya yote natumia jina langu halisi.
Member picture
1724.jpg
1724.jpg

Huyu yeye ndio mtoto si risk,kwanza alisema endapo cuf wakifanya mkutano Donge basi wakamuoe,bahati mbaya alikimbialia Dar wakati cuf wanafanya mkutano,pili kaja mtaliana kutoka kwao Italy na picha ya sadifa mkononi,akawa anawauliza pale airport Zanzibar "i'm looking for my wife"maana alimwambia mtaliana yeye ni mtu maarufu zenji akifika airport tu akimuuliza mtu yoyote bac atampata.
Na kitu chengine mwanamme shababi hasa hatukani ovyo kama yeye,
Huku zenji kuna msemo.wa watu ambao kama unatukana sana wanasema "huyu jamaa anamatusi kama ms....nge
 
Duuh! kama ni kweli, basi Tanzania ipo mahututi.. Haina viongozi kabisa..
Ila mi nliwahi sikia huyu jamaa ni "tembele"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom