SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
496
Reaction score
768
Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya:

-AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini
-SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23.

-wataalam wa SADC na M23 kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Goma kwa sasa

-SADC imekubali kukarabati uwanja wa ndege wa Goma

-AFC/M23 imeikubalia SADC, kwamba, baada ya ukarabati, itumie uwanja huo kuondoka wanajeshi wake na silaha zao (SAMIDRC).

Kwa kifupi, AFC/M23 ndo mshindi wa vita, na eneo ililopigania, ni haki yake.
 
DRC is volatile,changes might be soon
 
Daaaa kuna kjn wangu wa jw sjui mkwanja kapata kama watarud kwa hili saga wamekaaa mission mda mfup wamekosa hela za UN hvhv
Hawa siyo wa UN mkuu, ni wale wa mission ya kupiga kunguru. SAMIDRC. Wa UN bado watakuwepo, hili haliwahusu. Japo, M23 ilishawabana, safari zao ni mjini tuuu, hakuna kwenda nje ya mji. Kwa kifupi hawana kazi ni kuzurura tu
SADC hawajataka kukaza..
ila?
 
Naskia Belgium imeleta na yenyewe kifurushi cha special forces na mzigo wa kuanzia huko eastern DRC hadi bwana yule kuanza kubwatuka hovyohovyo. Tupe maoni yako.
Ni kweli. Lakini, huyo mbelgiji anawazidi nguvu hawa SADC? Jibu ni hapana. Pia, jambo usilotakiwa kusahau, siasa ni mchezo mchafu. Hata marekani kupitia tume yake, imeshasema serikali haina uwezo wa kulinda raia na mali zao mashariki mwa nchi hiyo. Hivyo, M23 wana sababu za kupigania haki zao. Na kumbuka. Dunia nzima, inategemea eneo hilo. Nani akubali kupoteza biashara yake? Hapo rais keshapata pigo, na akikubali tu, ameisha. Bora tu nchi waigawe, wazungu watakula meza moja na M23.
 
Sina jibu la moja kwa moja kuhusu uezo wa kijeshi lakini ninachojua ni kibwagizo kile cha "Dunia ya Mungu vitu vya Mzungu"..(jiongeze hapo) Pia unadhani nini kimepelekea kukasirishwa kwa PK kwa ujio wa kifurushi hiki cha wabelgiji ilhali yeye anadai kadhia za duru za DRC haviihusu Rwanda?
 
Congo imefikaje hapo ilipofika? Mbali na mataifa makubwa kutamani utajiri wao, yamkini urafi wa madaraka/ubinafsi kwa watawala wa nchi kumepelekea Congo leo hii ifike hapo ilipofika.

Viongozi wanatazama maslahi yao, kila kukicha wanatamani kusifiwa na kuabudiwa. Wakishika nchi badala ya kuangalia maslahi ya nchi wanatazama namna gani watabaki madarakani zaidi wao na vyama vyao.

Poor Africa.
 
Yaani Hawa SADC wanashindwa kuiga uchizi wa zelenks 😀

Back
Top Bottom