said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
KIROJA CHA 'UAFRIKA'
Siku chache kabla ya kuanza mkutano wa SADC wakati Raisi wa Afrika ya Kusini akizuru maeneo ya kihistoria ya kambi za wapigania uhuru wa ANC Morogoro, raia wake walikuwa 'hae hae' wanavunja na kuiba maduka ya waafrika wenzao wanaoishi nchini Afrika ya Kusini, na baada ya siku chache ndege ya Tz imezuiwa. Kiroja cha 'uafrika' !!!!!
Afrika haitokomboka kwa uafrika wake kama zilivyoshindwa nchi za kiarabu kukomboka kwa uarabu wao. Kunahitajika fikra pana zaidi